PICHA ZAIDI ZA MAADHIMISHO YA CCM SINGIDA

 Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete na Rais John Magufuli wakiwa wamekaa katika moja ya madawati 1000 yaliyotolewa msaada na CCM Mkoa wa Singida kwa ajili ya kugawa kwa shule mbalimbali za mkoa huo, kwa lengo la kupunguza upungufu wa madawati mashuleni.
 Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akimkabidhi Rais John Magufuli moja kati ya madawati 1000 yaliyotolewa na CCM Mkoa wa Singida kwa ajili ya kugawa katika shule mbalimbali za mkoa huo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 39 ya CCM kwenye Uwanja wa CCM Namfua, mjini Singida leo.

Baada ya kupokea madawati hayo, Rais Magufuli ameagiza kila mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa  kuhakikisha kila shule katika maeneo yao zinakuwa na madawati ama sivyo watakuwa wameshindwa kazi. Amesema kuwa hicho kitakuwa ni moja ya vipimo vya uwezo wao wa kazi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Rais John Magufuli akikabidhi madawati hayo kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida li ayagawe katika shule mbalimbali mkoani humo.
 JK na Magufuli wakiteremka jukwaani tayari kuondoka baada ya sherehe za maadhimisho ya miaka 39 ya CCM kumalizika
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akitangaza kuondoka kwa viongozi hao.

 JK, Magufuli na Kinana wakifurahia jambo
 JK na Magufuli wakionesha mshikamano wa Serikali na Chama
 JK na Magufuli wakiagana
 JK akienda kupanda gari huku akifuatiwa na Magufuli
 Rais Magufuli akizungumza na JK ambaye yumo ndani ya gari
 Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana akizungumza na Rais Magufuli
 Rais Magufuli akiagana na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan
 Rais Magufuli akiwaaga Wananchi alipokuwa akiondoka uwanjani baada maadhimisho ya miaka 39 ya CCM kumalizika leo kwenye Uwanja wa CCM Namfua, Singida.
 Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mjini, Mohamed Dewji akimuaga Rais Magufuli

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Kigangwala kabla ya kuondoka uwanjani hapo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA