Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingiziniImage captionAliyekuwa nyota wa filamu za ngono Meghan Wren
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitisha.
Marafiki na waliokuwa wafanyakazi wenzake walituma ujumbe katika mtandao wa Twitter wakimuenzi mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye alifariki usingizini wikendi iliopita.
Amber alikuwa nyota wa filamu za ngono kwa muongo mmoja kabla ya kujiuzulu mwaka 2015.
Alikuwa miongoni ,mwa kundi moja la wanawake ambao walidai kwamba James Deen,ambaye pia ni nyota wa filamu za ngono alimshambulia.
Hatahivyo Deen amekana madai hayo.
Mkaguzi wa matibabu katika kaunti ya Los Angeles ameiambia Newsbeat kwamba hakuna sababu rasmi ya kifo chake iliothibitishwa.
Hatahivyo wamesema kuwa familia yake imearifiwa.Bi Rayne ,ambaye jina lake rasmi ni Meghan Wren,alitangaza kujiuzlu kutoka kazi hiyo mwaka uliopita.
Wafanyikazi wenza katika soko la filamu za ngono walituma ujumbe wa kushtushwa na kifo chake.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA