BREAKING NEWSSSSS, RAIS MAGUFULI AMUONDOA UKUU WA MKOA ANNE KILANGO

 
Rais John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela (pichani).

Akizungumza  na Kituo cha  Televisheni cha  ITV, Rais Magufuli alisema kuwa amemuondoa  madarakani Anne Kilango kwa kumdanganya  kuwa katika mkoa wake hakuna wafanyakazi hewa.

Imeelezwa kwamba Anne Kilango alitoa taarifa kwa Rais Magufuli kuwa  Mkoa huo hakuna wafanyakazi hewa, jambo ambalo limemuudhi rais na kuamua kuchukua hatua hiyo.

Pichani;Mkuu mpya wa mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela "Mbula" akiwa ameshikilia mkuki wenye kengele aliposimikwa kuwa Chifu wa Wasukuma katika hafla iliyofanyika wiki iliyopita mkoani humo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI