4x4

BUNGENI LEO TV


SIMU.TV: Mhe.Halifa Mohamed mbunge wa Mtambwe aihoji serikali juu ya kutumia vyombo vyake kukamata watumiaji na wauzaji wa dawa za kulevya; https://youtu.be/nvMyGcJ3HJ8

SIMU.TV: Je ni lini sheria ndogo ndogo zitafanyiwa marekebisho ili kuondoa changamoto za ukusanyaji wa mapato katika halmashauri?; https://youtu.be/7VRJF6YCQM8 

SIMU.TV: Mhe.Aida Kenani aibana serikali juu ya hatua zilizochukuliwa kumaliza kero za madai ya walimu wa shule za sekondari na msingi; https://youtu.be/i16zrrXR0Yk

SIMU.TV: Mhe.Medad Kaliman akijibu swali la Mhe.Nzeja kuhusu idadi ya vijiji vilivyopo katika mpango wa 2 wa umeme REA halmashauri ya Mbeya ; https://youtu.be/oYq2sJ4mXqE

SIMU.TV: Kwa nini wanafunzi wanaomaliza stashahada katika vyuo na kutaka kujiunga na elimu ya juu wasiruhusiwe kutumia Academic Transcript? https://youtu.be/F3eGFI70zJo 

SIMU.TV: Mh.Neema Mgaya mbunge wa viti maalum aihoji serikali juu ya ucheleweshwaji wa usambazaji wa pembejeo kwa wakulima;  

SIMU.TV: Je Watanzania waishio ughaibuni wanachangiaje pato la taifa? Naibu waziri Mhe.Dkt Suzan Kolimba anatoa ufafanuzi;   https://youtu.be/SdFrfOTgAl4

SIMU.TVMh.Tunza Malapo aihoji serikali juu ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Mtwara mjini hadi Tandahimba Masasi; https://youtu.be/oQ7gweV785Y  


Post a Comment