HABARI KUTOKA TELEVIESHENI

SIMU.tv: Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga kwa kutoa taarifa zisizo sahihi juu ya wafanyakazi hewa mkoani humo. https://youtu.be/cJZuBD2WMGs  



SIMU.tv: Mkuu wa wilaya ya Mbeya awaweka ndani watumishi 2 wa wakala wa huduma za misitu nchini TFS na wafanyabiashara 5 baada ya kuwakamata na shehena za mazao ya misitu wakiwa na lengo la kuyasafirisha kwenda nje ya nchi.https://youtu.be/G4l0qV6v7gg  


SIMU.tv: Serikali imezindua KANZADATA ambao ni mfumo wa ukusanyaji taarifa na takwimu za watu wenye ulemavu utakao wezesha nchi kuwa na takwimu sahihi za watu wenye ulemavu wowote. https://youtu.be/WJsCKRFozlo  


SIMU.tv: Wahitimu wa mafunzo mbalimbali ya kijeshi nchini watakiwa kutobweteka na badala yake wajiendeleze kitaaluma zaidi ili kuendana na madadiliko ya kimataifa katika kipinidi hiki cha sayansi na teknolojia. https://youtu.be/8sV2_XQ8sSs   


SIMU.tv: Shule ya msingi Mtwaro wilayani Tunduru inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa, ofisi pamoja na nyumba za walimu. https://youtu.be/BdDnfZ0KsP8  


SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Mwanza aagiza kufukuzwa kazi kwa mganga mkuu wa wilaya ya Magu kwa kosa la utoro uliokithiri bila ya taarifa. https://youtu.be/RZHQwOaeWKU  


SIMU.tv: Kamati ya bunge ya hesabu za serikali PAC yasema italichukulia hatua jeshi la polisi endapo SIMU.tv: halitotekeleza maelekezo yaliyotolewa na kamati hiyo juu ya mkataba wa jeshi hilo na kampuni ya Lugumi. https://youtu.be/InuXHpR6osY   


SIMU.tv: Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu 7 wakiwemo  maafisa 2 wa wakala wa misitu TFS kwa tuhuma za kusafirisha magogo nje ya nchi kinyume cha sheria. https://youtu.be/jOaKQwAU9g4  


SIMU.tv: Waziri mkuu Kassim Majawaliwa amesema serikali imefuta tozo 5 kati ya 9 walizokuwa wanakatwa wakulima wa zao la korosho baada ya kubainika kutokuwa na tija. https://youtu.be/yyBBkPkHa-w   


SIMU.tv: Naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, wazee na watoto Dr. Hamis Kigwangala atoa siku 60 kwa hospitali ya wilaya ya Korogwe kurekebisha mfumo wa maji taka pamoja na chumba cha upasuaji hospitalini hapo. https://youtu.be/6QAD96vI06M  


SIMU.tv: Waziri wa afya Ummy Mwalimu awaagiza waganga wakuu wa wilaya na mikoa kuhakikisha vituo vyote vya tiba, zikiwemo zahanati, vituo vya afya na hospitali kuweka dirisha maalum kwa ajili ya kuwahudumia wazee. https://youtu.be/MQc5-wy0lVI  


SIMU.tv: Klabu ya Simba ya jijini Dar es salaam, yatumbuliwa na kutupwa nje ya michuano ya Kombe la FA baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Coastal Union. https://youtu.be/5i999p1UK3g

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI