HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV:   Mashindano ya mchezo wa tenisi kwa watoto yamesogezwa hadi Aprili 30 kwa sababu ya mvua zinazoendelea jijini Dare es Salaam https://youtu.be/eOXHg-vIM6A

SIMU.TV:  Timu mbalimbali za mchezo wa vishale zimeanza maandilizi ya mashindano ya michuano ya kubukumbu ya aliekua mlezi wa timu ya Ibukoni https://youtu.be/u2rB8iq-SK8

SIMU.TV:  Balozi Seif Idd amelitaka jeshi la polisi kutopuuza uhalifu mdogomdgo sababu unaweza kusababisha hasara kwa serikali https://youtu.be/MmV2zJf65b0

SIMU.TV:  Ujumbe wa wafanya biashara kutoka Omani wameutembele mkoa wa Mtwara kwa lengo la kuangalia fursa mbalimbali za uwekezaji https://youtu.be/rOizISUWE_U  

SIMU.TV:  Wanachi wameombwa kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la uchangiaji damu kwa hiari ili kuokoa maisha kwa wenye mahitaji ya damu https://youtu.be/RYD_m25mcYU

SIMU.TV:  Wazazi wameombwa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kwenye sera ya elimu bure nchini ili kuendeleza elimu  https://youtu.be/3Kr5jns8Lko

SIMU.TV:  Waziri wa habari Sanaa na michezo ameahidi kupambana na rushwa katika vyama vya michezo nchinihttps://youtu.be/WSLb9ssui2k

SIMU.TV:  Timu ya Yanga imefanikiwa kurudi Kileleni mwa Ligi kuu baada ya Kuifunga Mtibwa;https://youtu.be/5ZEawroQweA

SIMU.TV:  Wafanyabiashara waunga mkono kufutwa kwa bodi ya Machinga Complex baada ya kuwepo kwa ufisadi mkubwa; https://youtu.be/Wsi_poQjiDQ

SIMU.TV:  Wakulima wa korosho mikoa ya Lindi na Mtwara watahadharishwa juu ya uwepo wa ugonjwa wa mnyauko;https://youtu.be/IUCYiHADCtE

SIMU.TV:  Baadhi ya wabunge mkoani Tanga waendelea kutoa msaada katika shule ya Sini day iliyoungua moto;https://youtu.be/T4kXus5gZcU

SIMU.TV:  TCRA yaombwa kushirikiana na serikali katika kuhakikisha ujenzi wa minara ya simu unaenea Tanzania nzima;https://youtu.be/6zIfYXZ1koM

SIMU.TV:  Rais Dk Magufuli aweka jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi wa barabara ya juu (fly overs)katika makutano ya Tazara; https://youtu.be/E_LHXfe0iQE

SIMU.TV:  Serikali ya Burundi imeelezea kufurahishwa kwake na utendaji kazi wa Serikali ya Rais Magufli na kuahidi ushirikiano; https://youtu.be/uf5URKwDCUU
Attachments area
Preview YouTube video Manshindano Ya Tenisi Kwa Watoto Yasogezwa Mbele Preview YouTube video Mashindano Ya Mchezo Wa Vishale Yaanza Jijini Dar es Salaam Copy Copy Preview YouTube video Polisi Zanzibar Waonywa Kutopuuzia Uhalifu Mdogo Copy Copy Copy Preview YouTube video Wafanyabiashara Wa Oman Watembelea Mkoa Wa Mtwara Copy Preview YouTube video Wananchi Wahamasishwa Kuchangia Damu Preview YouTube video Wazazi Waombwa Kumuunga Mkono Rais Katika Sera Ya Elimu Preview YouTube video Waziri Wa Michezo Ahidi Kutokomeza Rushwa Michezoni Preview YouTube video Yanga Yarejea Kileleni Preview YouTube video Wafanyabiashara Waunga Mkono Kufutwa Bodi ya Machinga Complex Preview YouTube video Wakulima wa Korosho Watahadharishwa na Ugonjwa wa Mnyauko. Preview YouTube video Wabunge Waendelea Kutoa Misaada Sini Day Preview YouTube video Ujenzi wa Minara ya Simu Preview YouTube video Rais Magufuli Aweka Jiwe La Msingi TAZARA Preview YouTube video Rais Wa Burundi Atuma Ujumbe Kwa Rais Magufuli
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)