HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Simu.tv: Mkuu wa wilaya ya Ilala awataka wafanyabiashara kote nchini kumuunga mkono jitihada za Rais Magufuli kwa kufanya usafi kwenye maeneo yao. https://youtu.be/txg9YC3vYoE
Simu.tv: Rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Ally Hassan Mwinyi awataka watanzania kutobaguana kwa misingi ya kidini na kisiasa ili kuendeleza upendo na mshikamano. https://youtu.be/3ABiWqV8Cmk

Simu.tv: Serikali ya Uganda yaridhia ujenzi wa bomba la kusafirishia mafuta ghafi kutoka nchini humo hadi bandari ya Tanga Tanzania. https://youtu.be/EyI6WC9w-mE

Simu.tv: Kituo cha afya cha Kambi ya Simba kilichiko wilayani Ngorogoro mkoani Arusha chaelezwa kukabiliwa na ukosefu wa vyumba vya upasuaji jambo linalo hatarisha maisha ya wajawazito na watoto. https://youtu.be/U6grVXkFvHI

Simu.tv: Serikali yaanza kupitia upya sera ya ardhi ya 1995 ili iweze kuendana na mabadiliko ya sasa na ipunguze au kumaliza kabisa migogoro ya wakulima katika maeneo mbalimbali nchini. https://youtu.be/zp5rZQHR0og

Simu.tv: Wakulima na wafabiashara wa vitunguu mkoani Singida walalamikia wakala wa vipimo mkoani humo kwa kushindwa kuweka bayana ujazo wa magunia ya vitunguu. https://youtu.be/kIhRWpVtxfE

Simu.tv: Wafanyabiashara katika soko la Nyamatare  wilayani Musoma waulalamikia uongozi wa halmashauri hiyo kuwaondoa katika eneo la soko hilo bila kuwaambia wapi pa kwenda. https://youtu.be/whD8Bfmewt8

Simu.tv: Wamiliki wa shule binafsi nchini wameunda chama chao kitakacho wafanya kuwa pamoja katika kushauriana na kutekeleza maagizo ya wizara ya elimu. https://youtu.be/Cr9X7pZ_5_o
Simu.tv: Mkoa wa iringa umebaini ongezeko la watumishi hewa wengine 12 baada ya kurudia zoezi la uhakiki na kufanya jumla ya watumishi hewa mkoani humo kufikia 27 https://youtu.be/duBwaqsxV6o
Simu.tv: Watanzania wameshauriwa kufanya mazoezi mara kwa mara ili kujenga mwili na kuepuka na magonjwa yanayoweza kuwapata. https://youtu.be/kMRXjLP07OU

Simu.tv: Mbao Fc ya jijini Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu ya Vodacom baada ya Geita FC na JKT Oljoro kupewa adhabu ya kushushwa daraja baada ya kukumbwa na tuhuma za upangaji matokeo https://youtu.be/2eMeQa0-UjM
  
Simu.tv: ligi ya mabingwa wa mikoa Tanzania bara inatarajiwa kuanza mei kumi na nne ambapo mshindi wa ligi hiyo atapanda moja moja kucheza ligi daraja la kwanza. https://youtu.be/K5Nn2lWkLhM

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI