4x4

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Balozi Seif Idd awatahadharisha wananchi wanaokaidi agizo la serikali la usafi na wanaofanya biashara za vyakula kiholela; https://youtu.be/bdoYibxU69Y 

SIMU.TV: Shuhudia jinsi vurugu zilivyosababisha mchezo katika ya Yanga na Coastal Union kushindwa kumalizika;https://youtu.be/YL40tgp99D8 

SIMU.TV: Mashindano ya mchezo wa pete umeendelea kwa michezo minne kupigwa katika uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es salaam; https://youtu.be/d2waI06QJoc 

SIMU.TV: Angalia sherehe za utoaji wa tuzo kwa mwanasoka bora na mwanasoka bora chipukizi katika ligi kuu England kwa mwaka 2015/2016; https://youtu.be/cPnp0QuubF8 

SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kuhusu  bunge la 11 linanalojadili bajeti ya serikali je bajeti hiyo itakidhi matakwa ya wananchi; https://youtu.be/1IEzEYdqmZ4

SIMU.TV: Jifunze mambo mengi ya msingi kutoka kwa mtaalamu wa masuala ya afya  akikuelimisha kuhusu siku ya malaria duniani: https://youtu.be/fJ9zIxo-uJs

SIMU.TV: Jifunze mambo mengi ya msingi  kuhusu kampeni inayohusu ukatili wa jinsia kwa wanawake ususani katika maeneo ya sokoni: https://youtu.be/xudV7XCtZbs

SIMU.TV: Yajue mengi kutoka kwa madaktari na wasaidizi wa rajisi wa bodi za hospitali binafsi wakikujuza kuhusu ukaguzi wa hospitali binafsi: https://youtu.be/0jJPmquOKOY

SIMU.TV: Manispaa ya Ilala na wakazi wa Vingunguti washirikiana kuchimba mitaro ili kukabiliana na adha ya mafuriko.https://youtu.be/sv-WZ6vKoL0

SIMU.TV: Waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo amesema Tanzania itanufaika maradufu kutokana na kushinda Zabuni ya ujenzi wa bomba la mafuta. https://youtu.be/7ebb23ZKaKY

Post a Comment