4x4

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Naibu waziri wa mambo ya ndani Mhe Masauni amesema Tanzania haiwezi kuwa mtumwa wa misaada ya wafadhiri kutokana na rasilimali zilizopo https://youtu.be/obeZ18OgTGg  

SIMU.TV: Watanzania leo wanaadhimisha miaka 52 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao uliasisiwa mnamo Aprili 26, 1964.  https://youtu.be/sdQrTykevDA 

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla amesikitishwa na mlundikano wa mahabusu na wafungwa katika gereza la Luanda kutokana na kuchelewesha usikilizaji wa kesi zao. https://youtu.be/AkQY4fFfTec

SIMU.TV: China imekubaliana kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kati yenye urefu wa kilometer 2561   https://youtu.be/Qky40U8TZVM

SIMU.TV: Jifunze mambo mbalimbali  yatakayokujenga  kutoka kwa mfanya biashara  akikufahamisha kuhusu siku ya haki miliki duniani: https://youtu.be/KrIAi6uiaE0

SIMU.TV: fahamu mambo mengi  kutoka kwa wadau wa muungano nchini wakikujuza kuhusu maadhimisho ya mika 52 ya muungano wa Tanzania: https://youtu.be/lOD_YDk6aRI

SIMU.TV: Yajue mambo mengi kutoka kwa wadau wa elimu kutoka visiwani Zanzibar wakikujuza kuhusu masuala ya elimu: https://youtu.be/YjmOc9meSOA 


SIMU.TVSerengeti boys yaanza mazoezi ikijiandaa na michuano na timu ya India itakayofanyika mwezi ujayo ; https://youtu.be/f0z_O_E9S-w

SIMU.TV: Kambi iliyofunguliwa katika zahanati ya Kiloleni mjini Tabora kwaajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu yafungwa rasmi; https://youtu.be/eJAjmF95lRQ

SIMU.TV: Rais John Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa 3551 katika kuadhimisha sikukuu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar; https://youtu.be/0hx3wvo8yjk

SIMU.TV: Jambazi mmoja auawa na wengine wanne wanashikiliwa na polisi baada ya majibizano ya risasi na polisi mkoani Katavi; https://youtu.be/FjEUIXdSInE

Post a Comment