HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


SIMU.TV:  Kocha mkuu wa JKT Ruvu Abdallah Kibadeni  amesema anapigania timu yake ibaki katika ligi kuu licha ya kusalia na mechi ngumu;  https://youtu.be/NN_C6NdGJps

SIMU.TV:  TPDC yazipiga jeki timu za Wazawa FC na Takesha FC kwa kuzipatia msaada wa vifaa vipya vya michezo;https://youtu.be/Crug1Jljh6I

SIMU.TV: Bodi ya madawa,chakula na vipodozi yabaini ufisadi katika ghala bubu la chakula ambao unaweza kuhatarisha maisha ya wananchi; https://youtu.be/eCQ58yJJDDU

SIMU.TV: Rais Dkt. John Magufuli arejea nchini baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku 2 nchini Rwanda.https://youtu.be/aScDU_w2YQ0

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla aridhishwa na utekelezwaji wa mradi  wa ujenzi wa meli kubwa 3 katika bandari ya Itungi. https://youtu.be/QJzZhCTkc-E

SIMU.TV:Mkuu wa mkoa wa Manyara Dkt. Joel Bendera atangaza kumsimamisha kazi mkurugenzi wa halmashauri ya Hanang kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha zaidi ya sh. Mil. 600. https://youtu.be/FbSwL2rZV8A

SIMU.TV:  Taasisi ya Benjamin Mkapa inatarajia kuadhimisha miaka 10 toka kuaznishwa kwake huku ikijikita zaidi katika kutoa huduma za afya. https://youtu.be/o1jjNt_H9Sc

SIMU.TV:  Waziri wa habari, sanaa utamaduni na michezo Mhe. Nape Nnauye ameitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuendelea na ukarabati wa uwanja wa Nyamagana. https://youtu.be/1Ur5Na-B0wM

SIMU.TV:  Sikiliza maoni ya watu wakifafanua walichojifunza  katika kumbukumbu ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Abed Aman Karume:https://youtu.be/-BlLCU22vZU

SIMU.TV:  fahamu  mambo mengi kutoka kwa wadau wa bodi ya maziwa nchini, wakikuelimisha kuhusu umuhimu wa unywaji maziwa :https://youtu.be/zCqMN0SIfA8

SIMU.TV:  Yajue mengi  kutoka kwa Masheikh wa visiwani Zanzibar wakiwafahamisha waumini wa dini ya kiislamu kuhusu suala la jitimai: https://youtu.be/gyhEIFz9iFg


0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA CHAKE CHAKE,MKOA WA KUSINI PEMBA LEO.

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.