IDARA YA HABARI MAELEZO INAKULETEA JARIDA LA NCHI YETU (NCHI YETU ONLINE)

 
Government Standing Order Press and Public Relations 
2016
i
GOVERNMENT STANDINGORDER NO. C. 16PRESS AND PUBLIC RELATIONS
(a) The Director of Informaon Services is the recognized channel for all GovernmentInformaon to the Press and Broadcasng Services.(b) Tenable Regional Administraons, Ministries and Departments to keep the Director ofInformaon informed, as a maer of roune, of their acvies, all AdministraveSecretaries in the regional Administraons, all Permanent Secretaries and Heads ofDepartments should appoint an ocer at headquarters and/or at such otheroces as may be appropriate to act as liaison ocer with the Informaon Services Division.
 
Informaon of a factual nature not connected with major quesons of policy anddevelopment, to be given publicity in the local press and the broadcast news serviceshould be channelled through this ocer to the Press Secon of the InformaonServices Division. Conversely it is to this ocer that the ocers of the InformaonServices Division would rst go for any informaon that they might require.(c) Where the informaon to be given out related to maer of major importance, thechannel of communicaon will normally be between the Permanent Secretary Servicesconcerned and either the Permanent Secretary of the Ministry responsible forInformaon and Broadcasng or the Director of Informaon Services.(d) In up-country staons, all material which it is desired to be communicated to thePress and Broadcasng Services should be submied to the Regional InformaonOcer to pass such a material to the Director of Informaon Services.(e) When an ocer is approached by the Press for an eye witness account of any incident,he will always refer the Press to the Senior Ocer present.This ocer will connue himself strictly to a statement of facts and will in nocirmcustances embark on a discussion of Government policy. Any ocer making such statement to the press will inform his head of Division immediately of the substance of his statemenand it will be responsibility of the head of Division to pass thisinformaon to the Permanent Secretary of his Ministry and the Director of anyincident likely to by the quickest possible means. This procedure is also to be adoptedfor any incident likely to arouse wide public interest or controversy, irrespecve ofwhether or not Press representaves are present, and/or a statement has beensought or made.
 
Nchi Yetu; Tuonavyo Sisi / Yaliyomo 
2016
NCHI YETU
 
TUONAVYO SISI
 YALIYOMOTUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO
• Tunasajili Magazeti na Majarida,• Tunauza picha za viongozi wa Kitaifa,• Tunatoa nafasi ya kufanya mikutano,• Tunatoa nafasi ya watu kuzungumzana wanahabari,• Tunatoa vitambulisho vya Waandishiwa habari (Press Cards),• Rejea ya magazeti na picha za zamani.
JARIDA HILI HUTOLEWA NA
Idara ya Habari (MAELEZO)S.L.P 8031Dar es SalaamFaksi: 2122771/3Barua pepe: maelezo@habari.go.tzTovuti: www.habari.go.tz
ii
NI miaka 52 ya Muungano wa Tanganyika naZanzibar ulioizaa Tanzania. Katika kipindi hikitumeshuhudia mengi mazuri na chnagamotokadha wa kadha. Mafanikio ya Muungano huuni pamoja na Amani na Mshikamano baina yaWatanzania. Kwa kipindi chote hiki tumeishikwa kupendana na kuheshimiana kindungu. Licha ya mafanikio hayamiaka 52 inatukuta bado na changamoto kadha ikiwemo rushwa,madawa ya kulevya na Watumishi hewa. Serikali ya Awamu ya Tanochini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli limetangaziwa vita kali.Suala la mishahara inayolipwa kwa Watumishi hewa limekuwepo kwa miakamingi hapa nchini. Hata hivyo, pamoja na kwamba wizi huu wa fedha zaSerikali ulikuwa unafahamika katika Wizara na Taasisi zake, swali likuwani “nani wa kumfunga paka kengele?” Tunamshukuru Rais wetu Dkt.John Pombe Magufuli kwa kulivalia njuga suala hili na sasa limechukuasura mpya ambapo wahusika wameanza kuchukuliwa hatua za kisheria.Vita hii imekolezwa na Mheshimiwa Rais ambaye ameonyesha dhahirikukerwa na suala la Watumishi hewa na sasa ameamua kufuatiliakwa karibu zaidi baada ya kuwaagiza Wakuu wa Mikoa kuhakikishakwamba hakuna mtumishi hewa katika malipo ya mishahara yaWatumishi wake. Aliwataka Wakuu hao wa Mikoa kufuata nyayo zakekatika vita hivyo. Katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, hadi sasawamegundulika Watumishi hewa 2,700 katika Halmashauri 180 hapa nchini.Matokeo ya mapambano dhidi ya Watumishi hewa yamedhihirika pale ambapoMkuu wa Mkoa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga wameachishwakazi mara moja kutokana na kutokuwa wakweli juu ya kuwepo kwa Watumishihewa katika mkoa huo. Tukio hili hakika linaonyesha jinsi MheshimiwaRais alivyodhamiria kupigana hadi kutokomeza suala la Watumishi hewa.Hata hivyo, wapo wajanja wachache wenye tamaa na uroho wa fedhaambao wamekuwa wakitumia majina hayo kufanya malipo ya fedhaza mishahara au kuchukulia mikopo na fedha na kuingiza mifukoni
mwao. Utati uliofanyika katika mikoa miwili ya Dodoma na Singida kwa
maelekezo ya Mheshimiwa Rais, unaonyesha kuwa, katika Halmashauri14 yaligundulika majina ya Watumishi hewa 202. Kati yao sita walikuwawameacha kazi, 27 ama wamekufa au wamefungwa, 8 wamefukuzwakazi, 158 ni Wastaafu na watatu wako likizo isiyokuwa na malipo.Mheshimiwa Rais alitolea mfano kwa kusema, “tuchukulie hawa watumishihewa 2,700 kila mmoja analipwa mshahara wa wastani wa milioni moja kwamwezi, ina maana kwa mwezi huo Serikali inapoteza karibu bilioni mbili.Kwa bilioni mbili ni madawati mangapi yangeweza kununuliwa? Kwa mwaka
mishahara hewa inakia takribani bilioni 24. Je, vitanda kwenye hospitali
zetu si vingeongezwa na kupunguza adha ya wagonjwa kulala chini?.Kutokana na ushindi wa vita hii Watanzania lazima tuseme “heko RaisMagufuli”. Kwa kweli amemfunga paka kengele na hivyo hatunabudi kuungana
naye kwa kuwachua watumishi hewa. Na kwa waliokuwa wakihusika
na upotevu huu wa fedha sheria haina budi kuchukua mkondo wake.Heko Rais Magufuli, Hapa Kazi Tu!, unaidhihirisha kwa vitendo. Vitahii iwe chachu ya mapambano mengine dhidi ya Rushwa na Madawaya Kulevya. “Tudumishe Muungano kwa kupambana na Watumishi hewa.Tanzania bila Watumishi hewa inawezekana, tutimize wajibu wetu”.
Heko Rais Magufuli kwa kuchua
Watumishi hewa.
 
Government Standing Order Uk. (i)Tuonavyo Sisi Uk. (ii)Uhuru wa Vyombo vya Habari Uk. 1Kuapishwa Rais wa Zanzibar Uk. 4Mwenge wa Uhuru Uk. 5Miaka 50 ya Uhusiano Tanzania na Vietnam Uk. 7Mikakati ya Serikali katika kilimo Uk.10
Usa siku ya Uhuru Uk.12
Serikali kutoa Hati ya Umiliki Ardhi Uk. 15Elimu ya Msingi/Sekondari kutolewa bure Uk. 16Wachimbaji Wadogo wa Madini Uk. 17Habari picha Uzinduzi wa Daraja la Nyerere Uk. 18Habari picha Muungano Uk. 20Umeme wa REA maeneo ya Vijijini Uk. 22Juhudi za Serikali kuboresha Afya nchini Uk. 24Maadili na Misingi ya Uwajibikaji Uk. 26Umeme wa Jotoardhi Uk. 27Mchango wa barabara katika pato la Taifa Uk. 29
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)

WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI