4x4

KAMANDA MWAIKENDA NA UBORA WAKE BUNGENI DODOMA

 Kamanda Richard Mwaikenda akiwa na wanahabari wanawake Ikunda Eric (kushoto) wa Habari Leo na Agusta Njoji wa Nipashe kwenye viwanja vya Bunge, mjini Dodoma.Mwaikenda licha ya kumiliki Blog hii pia ni Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo.

Mwaikenda ambaye baadhi ya wadau humwita Mwenyekiti; Aliwahi kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari waliokuwa kwenye ziara za Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mikoa yote nchini.

Picha katika Kampeni za Urais wa Tanzania mwaka jana 2015, alikuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari waliokuwa kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli.

Kabla ya kwenda kufanya kaverage za Bunge linaloendelea sasa. Mwezi wa Machi mwaka huu alikuwa Zanzibar kufanya kaverage ya marudio ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.

 Kamanda Mwaikenda akiwa na Agusta
Kamanda Richard Mwaikenda akisalimiana na Mwandishi wa Habari wa gazeti la Mwananchi Abel Chidawali. Kulia ni Agusta

Post a Comment