4x4

MBUNGE KIJANA HALIMA BULEMBO AMPONDA MBOWE KULILIA TV LIVE BUNGENI

Mbunge wa viti maalum(CCM) Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.
.
"Namshangaa kumwona mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni,wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfahamu vizuri,wabunge vijana ndio waliopaswa kulala mikia hili."
.
Kama Mwananchi mzalendo unazunguamziaje kauli ya huyu mbunge?...
See More
LikeShow more reactions
Comment
Post a Comment