MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. SAIDI MECK SADIKI ATEMBELEA LANGO LA LONDOROSI HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO

mec1Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Saidi Meck Sadiki   (watatu kutoka kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Siha Dk. Charles Mlingwa ( wa kwanza kulia) wakiwasili katika lango la Londorosi, Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro. Katikati ni mwenyeji wao Betrita Loibooki, Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro.
mec2Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro akiwasilisha taarifa fupi ya Hifadhi ya Kilimanjaro kwa Mkuu wa  Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saidi Meck Sadiki akiwa katika lango la Londorosi.
mec3Mkuu wa Idara ya Utalii Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro, Charles Ngendo akionyesha maeneo ya hifadhi kwenye ramani kufafanua taarifa ya Mkuu wa Hifadhi.
mec4Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saidi Meck Sadiki akiongea na watumishi wa hifadhi, wilaya na mkoa katika lango la Londorosi.
mec5Watumishi wa Hifadhi ya Kilimanjaro, Wilaya ya Siha na Mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
mec6Akiongozwa na Mhifadhi Imani Kikoti, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alipata fursa ya kutembea kwa miguu kupanda mlima kuelekea uwanda wa Shira.
mec7Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na ujumbe wake kutoka mkoani na Wilaya ya Siha wakipewa maelezo juu ya vivutio  na jiolojia ya uwanda wa Shira kutoka  kwa Charles Ngendo, Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro.
mec8Picha ya pamoja ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro. Hapa akionekana na msafara wake na viongozi wa hifadhi ya Kilimanjaro wakiwa uwanda wa Shira (mita 3962)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.