4x4

MKUU WA WILAYA ARUDI UWANJANI RASMI

KA1
Mkuu wa wilaya Iringa Bwana Richard Kasesela, baada ya kazi jana alijiunga na wana chuo cha RUCU kucheza mpira wa kikapu. Mchezo ambao alikuwa akicheza enzio hizo. Mkuu huyo wa wilaya aliahidi kuukuza mchezo huo mkoani Iringa.
KA2KA3
Post a Comment