RICHARD KASESELA AONGOZA MAZISHI YA BRIGEDIA JENERALI GALINONA, IRINGA


 Mkuu wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akihudhulia misa na baadae mazishi ya Brigedia Jenerali Galinoma yaliyofanyika Iringa.
 Askari wa jeshi la wanachi JWTZ wakielekea makaburini
 Askari wa jeshi la Wananchi JWTZ wakiwa wamebeba jeneza la Brigedia Jenaral Galinoma.

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela akiongoza mazishi ya Brigedia Jenerali Galinoma.
 familia ya marehemu wakiwemo watoto wakiweka shada .
 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mhe. Richard Kasesela akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Brigedia Jenerali Galinoma.
 Mazishi yakiendelea.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)