SENDEKA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI BABATI


1Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akionyshwa na Katibu wa CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali (kulia), jinsi Jengo la Ofisi ya CCM mkoa huo, lilivyoungua moto hivi karibuni, Sendeka alipokagua jengo hilo, leo Aprili11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.
2Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Wilaya za Babati Mjini na Babati Vijijini, katika ukumbi wa CCM mkoawa Manyara, leo Aprili 11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo.
(Picha na Bashir Nkoromo).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.