TEA ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WATOTO WENYE USONJI




Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kushoto), akimkabidhi cheti cha shukrani Rais wa Lions Club of Dar es Salaam Mzizima kwa kufanikisha maadhimisho hayo.


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Joel Laurent akizungumza wakati wa matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya watoto wenye Usonji. 

Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kushoto), akizungumza wakati wa matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya watoto wenye usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (katikati), akiwasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam baada ya kushiriki matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya Watoto wenye Usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kushoto), akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), mara baada ya kushiriki matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya watoto wenye usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia Watu Wenye Usonji Tanzania (NAPAT), Dk. Stella Rwezaula.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.