4x4

WAZIRI UMMY MWALIMU AONGOZA KUPIMA MALARIA SIKU YA MALARIA DUNIANI

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiogopa kuchomwa sindano alipokuwa akichukuliwa damu na Mteknolojia wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Habiba Malima tayari kupimwa vimelea vya ugonjwa malaria, Bungeni Dodoma leo, baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani.
Waandshi wa habari wakiwa wamejipanga tayari kupimwa malaria, ambapo kwa dakika 20 unapata majibu
Post a Comment