4x4

CCM YATANGAZA MAJINA WANAOWANIA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya CCM, Dodoma jana, ambapo pamoja na mambo mengine  alitangaza majina ya wanaCCM  watakaogombea kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya CCM, Dodoma jana, ambapo pamoja na mambo mengine  alitangaza majina ya wanaCCM  watakaogombea kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho. Kushoto ni Ofisa wa chama hicho, Gabriel Athuman.
                                                Christopher Ole Sendeka
Post a Comment