4x4

DONDOO ZA MAGAZETI

SIMU.TV:  Kafulila aanguka kesi ya ubunge. Chadema yazidi kuvalia njuga Lugumi.Wachumi waonya mapambano ya serikali, wafanyabiashara;  https://youtu.be/B5O3B9lhMFE

SIMU.TV: Samia awataka ma RC kutumbua kwa sheria. Bajeti wizara mambo ya ndani yapita kiaina. Watu 11 kuburuzwa kortini leo kwa ubakaji, udhalilishaji.  https://youtu.be/cvhIPn7tnvI

Post a Comment