HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimemtaka Rais John Pombe Magufuli kuchukulia hatua sakata la kampuni ya LUGUMI sawa na anavyotumbua watumishi wasio waadilifu.https://youtu.be/FlIO8zD7K1Y

SIMU.TV: Serikali kupitia wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi imeitaka mamlaka ya bandari nchini TPA kuhakikisha inarekebisha haraka kasoro zilizojitokeza katika mtambo wa kupimia mafuta katika bandari ya Dar es Salaam. https://youtu.be/wRbMwF1HNew
SIMU.TV: Wanafunzi zaidi ya miam mbili katika shule ya Dar es Salaam Islamic Secondary School ya jijini Dar es Salaam wamenusurika kifo baada ya moto kuteketeza mabweni yao katika shule hiyo.https://youtu.be/iYkNSjqMjAE
  
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani lindi amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Kilwa na kukuta mzigo wa shehena ya TV umefichwa katika vyumba vya vyoo vya bandari hiyo huku walinzi wakikana kujua kama kuna mzigo katika vyoo hivyo. https://youtu.be/yW9EI9oljmg

SIMU.TV: Upande wa mashitaka umeombwa kuwekwa wazi mustabadhi wa rufaa iliokatwa na DPP kupinga kuondolewa kwa shitaka la utakatishaji wa fedha lililokuwa klikiwakabili Hary Kitilya na wenzake wawili.https://youtu.be/ouTLNFNUCmU

SIMU.TV: Serikali imedhamiria kutekeleza zoezi la bomoa bomoa nchi nzima kwa wale wote waliojenga maeneo yasiyoruhusiwa sambamba na utaifishaji wa ardi inayotumika kinyume na mipango kwa wawekezaji.https://youtu.be/idlIwNJamio

SIMU.TV: Umma wa waislamu na waumini wa dini nyingine wameaswa kuhudhuria dua na maombi ili kuondokana na matatizo mbalimbali yanayojitokeza katika maisha ya wanadamu. https://youtu.be/PAtAYuxl_Ho

SIMU.TV: Benki ya CRDB imesema inajivunia kuwa mbele kuwaletea watanzania huduma bora za kibenki katika miaka ishirini tangu ianzishe na imekua ya kwanza katika kumjali mteja. https://youtu.be/CxYpoN6wcVc

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imejipanga kufanya marekebisho katika utendaji wake ili kuondoa taswira mbaya iliojengewa hapo nyuma na pia kuhahakikisha inafikia lengo la serikali katika ukusanyaji wa mapato. https://youtu.be/xQhKC07662o

SIMU.TV: Licha ya kupoteza mchezo wake leo huko nchini Angola mabingwa hao wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya makundi katika michuano ya shirikisho ya Afrika.https://youtu.be/SzZPe_cWDm4   

SIMU.TV: Kocha mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars ametangaza kikosi kitakacho cheza na Harambee stars ya Kenya katika mchezo wa kirafiki katika kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Misri. https://youtu.be/RO59-GV9PK0

SIMU.TV: Kamati ya saa 72 ya soka nchini imeitaka klabu ya Azam kutumikia adhabu ya kupokwa alama tatu katika mchezo wao dhidi ya Mbeya city kwa kumchezesha kiungo wake aliekua na kadi tatu za njano.https://youtu.be/PPSZFkbW1z8

SIMU.TV: Mchezo wa fainali wa mashindano ya FA nchini umerudishwa nyuma na utachezwa tarehe 25 mwezi huu kati ya Yanga na Azam fc.https://youtu.be/kwb1Pp1hJj0

SIMU.TV: Azam fc imemchukua kocha mpya kutoka Hispania ambaye atachuka nafasi ya Stewart Hall baada ya kocha huyo kuandika barua ya kuachana na klabu hiyo mwisho wa msimu huu.https://youtu.be/RYpRHVOirAE

SIMU.TV: Taasisi ya Power Zone Fitness’ ya mazoezi ya viungo kwa kushirikia na kampuni ya Mabibo beer inatarajia kufanya kusanyiko la mazoezi ya viungo ambapo litafanyika bila kiingilio katika viwanja vya Leaders.https://youtu.be/9tkDzQDiCEU

SIMU.TV: Timu ya Hull city imefanikiwa kuingia hatua ya fainali ya mtoano ya kusaka tiketi ya kupanda daraja na kucheza ligi kuu ya nchini Uingereza.https://youtu.be/hTExr4THxAc

SIMU.TV: Kamera zilizofungwa bandarini ili kuhakiki ujazo wa mafuta yanayopakuliwa kutoka kwenye meli kwenda katika mantenki zaungua;https://youtu.be/w9OCbzIIAkc

SIMU.TV: Zaidi ya wakazi 1200 wa kijiji cha Jenjeluse wilayani Chemba mkoani Dodoma wanategemea shule moja tu ya msingi yenye vyumba vya kusomea vinne tu; https://youtu.be/is02VrRPbyw

SIMU.TV: Wadau mbalimbali waendelea kujitokeza kusaidia shule ya Dar es salaam Islamic baada ya kuteketea kwa moto jana usiku;https://youtu.be/CtYH4ULMs6o

SIMU.TV: Waziri wa fedha na mipango visiwani Zanzibar Dkt Khalid Mohamedi amewasilisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha huku masuala ya mawasiliano, ardhi, miundombinu vikipewa kipaumbele;https://youtu.be/IDBlmYT-SbY

SIMU.TV: Watu sita wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumbaka binti mmoja mwenye miaka 21 na kumpiga picha pamoja na kusambaza picha hizo katika mitandao ya kijamii; https://youtu.be/qppR7rOIXqM
SIMU.TV: Makamanda wa kijeshi kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wanaofanya mkutano wao mkoani Arusha leo wamefanya amzoezi ya mfano ili kuonesha kuwa wako fiti; https://youtu.be/3w503SEnPxY  

SIMU.TV: Kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato nchini TRA amewataka wafanyakazi wapya wa mamlaka hiyo kufanya kazi kwa bidii ili kuongezea nchi mapato yake; https://youtu.be/G7XhQeOUe88
SIMU.TV: Chama cha wanawake wafanyabiashara  nchini TWCC wamepanga kuwapatia mafunzo wajasiliamali walioko pembezoni mwa nchi ili kuhakikisha ubora wa bidhaa zinazozalishwa zinakua na ubora wa kimataifa;https://youtu.be/GBFAmjD1gV8

SIMU.TV: Mkurugrnzi mtendaji wa benki ya CRDB amezitaka taasisi za kifedha kuwekeza katika viwanda na kilimo kwa kutoa mikopo nafuu kwa wakulima; https://youtu.be/YqcCdI2HZj4

SIMU.TV: Biashara ya urembo wa makombe ya bahari umedorora kwa sababu sasa sio msimu wa watalii; https://youtu.be/AlzMWKRwlZY

SIMU.TV: Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi za kirafika na Kenya; https://youtu.be/hZiF5_kNMnI

SIMU.TV: Mabingwa wa soka Tanzania timu ya Yanga imetinga hatua ya makundi katika michuano ya shirikisho barani Afrika kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya leo kukubali kipigo cha bao moja huko Angola;https://youtu.be/DQzTmiaSHdQ

SIMU.TV: Azam yawapa mikataba makocha wawili kutoka nchini Hispania ili kukinoa kikosi hicho baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo kuamua kuachia ngazi; https://youtu.be/ocywlGj65F4

SIMU.TV: Waandaaji wa mashindano ya masumbwi hapa nchini wameonywa kuwapandisha ulingoni watoto wadogo chini ya umri wa miaka 18; https://youtu.be/5tRIIkK_T34
SIMU.TV: Mashindano ya kombe la Shambalai wilayani Lushoto Mkoani Tanga yakamilika na yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo Julai mwaka huu; https://youtu.be/BK4xAi1pAYc

SIMU.TV: Fainali ya Europa League kati ya Liverpool na Sevilla itafanyika usiku huu mjini Basel nchini Uswisi; https://youtu.be/CyuLfZGu12E

Attachments area
Preview YouTube video CHADEMA Wawakia Sakata La Lugumi Preview YouTube video Kamera Za Ulinzi Za Bandari Zaharibika Preview YouTube video Wanafunzi Zaidi Ya Mia Mbili Wanusurika Kifo Preview YouTube video Shehena Ya Mzigo Wahifadhiwa Chooni Preview YouTube video Kitilya Na Wenzake Warudishwa Tena Rumande Preview YouTube video Bomoa Bomoa Sasa Kutikisa Nchi Nzima Preview YouTube video Waumini Waaswa Kuhudhuria Dua Na Maombi Preview YouTube video CRDB Yatimiza Miaka Ishirini Preview YouTube video TRA Kufanya Marekebisho Makubwa Preview YouTube video Yanga Yatinga Hatua Ya Makundi Preview YouTube video Kikosi Cha Taifa Stars Hadharani Preview YouTube video Rufaa Ya Azamu Yatupwa Nje Preview YouTube video Fainali Za FA Kupigwa Mei 25 Preview YouTube video Azam Yapata Kocha Mpya Preview YouTube video Bonanza La Mazoezi Ya Viungo Preview YouTube video Hull City Yafanikiwa Kuingia Fainali Preview YouTube video Kamera za Kuchunguza Upakuzi wa Mizigo Zaungua Preview YouTube video Uhaba wa Madawati, Madarasa Bado Kilio Dodoma Preview YouTube video Dar es salaam Islamic Yateketea Kwa Moto Preview YouTube video Serikali ya Zanzibar Yawasilisha Bajeti Yake Leo Preview YouTube video Watu Sita Kizimbani kwa Ubakaji Morogoro Preview YouTube video Makamanda wa Jeshi la Afrika Waitikisa Arusha Preview YouTube video TRA Yajipanga Kuongeza Mapato Zaidi Preview YouTube video Wanawake Wajasiliamali Wajipanga Kuwezeshana Preview YouTube video Kimei Azitaka Benki Nchini Kugeukia Kilimo na Viwanda Preview YouTube video Wauzaji wa Makombe ya Bahari Walalamikia Kupungua Watalii Preview YouTube video Cannavaro Arudishwa Tena Taifa Stars Preview YouTube video Yanga Yatinga Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Preview YouTube video Wahispania Sasa Rasmi Kuinoa Azam Preview YouTube video Watoto Chini ya Miaka 18 Marufuku Kupanda Ulingoni Preview YouTube video Kombe la Shambalai Mkoani Tanga Laiva Preview YouTube video Fainali Europa Leo, Terry Asaini Mwaka Mmoja Chelsea
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

KWA HERI KAMANDA WETU ABBAS KANDORO

YANGA SC WAANZA KAZI AFRIKA LEO…WANAKIPIGA NA U.S.M. ALGER SAA 4:00 USIKU ALGERIA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA