HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Alli Mohamed Shein amewataka mabalozi wa Tanzania walioko nchi za nje kuitangaza Tanzania ili kukuza uchumi wake; https://youtu.be/0X4NXgG8POs
SIMU.TV: Waziri wa nchi ofis ya rais na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mh Issa Haji ametoa salamu za rambirambi kwa nchi ya Oman kufuatia kifo cha balozi mdogo wa Oman nchini visiwani Zanzibar ; https://youtu.be/Ba-ByLxjZQM

SIMU.TV: Waziri wa katiba na sheria Zanzibar Mh Haroun Alli amesema serikali ya Zanzibar ina matumaini makubwa na ofisi ya DPP visiwani humo na kuwasihi kufanya kazi kwa bidii; https://youtu.be/WP5DUzpVq5w

SIMU.TV: Waziri wa kilimo visiwani  Zanzibar amesema serikali yao imejipanga kuongeza uwekezaji zaidi visiwani humo ili kuchochea maendeleo kwa wananchi wa visiwani humo; https://youtu.be/styczU3qI2Q

SIMU.TV: Hospitali ya Mnazi mmoja visiwanin Zanzibar yapokea msaada wa vifaa mbalimbali kwa matumizi ya hospitali hiyo kutoka kwa kampuni ya Bima ya Strategy Insurance; https://youtu.be/_MHlicZKTKY

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato visiwani Zanzibar ZRB imezindua mfumo mpya wa ukusanyaji mapato unaoitwa Kodi ya zuio ili kuhakikisha ukusanyaji wa kodi unakua mkubwa zaidi; https://youtu.be/mPbYM4sfZjE

SIMU.TV: Wanawake nchini wametakiwa kuongeza uwezo wa kitaaluma ili kuwawezesha kuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi miongoni mwa jamii; https://youtu.be/_mq4RecsGe0

SIMU.TV: Mwenyekiti wa kuweka mazingira safi bwana Nazir Bachu amesema ili kuweka mazingira ya jamii safi basi lazima wajitahidi kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na kupanda miti; https://youtu.be/RRO0Y86_pTs

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Pemba Mh Omar Hamis amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Wete na kukuta changamoto nyingi ikiwa na pamoja na uhaba wa vifaa katika wodi ya upasuaji; https://youtu.be/dOfC2VyXx5M

SIMU.TV: Mabingwa wa soka Tanzania bara timu ya Yanga imewasili leo nchini na kupokewa kifalme na wapenzi pamoja mashabiki wao mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere;https://youtu.be/S4kTaKtRZxo

SIMU.TV: Makamu wa Rais Bi Samia Suluhu Hassani leo amezindua ripoti maalumu inayozungumzia hali ya uchumi nchini na jinsi uchumi unavyo kuwa kupitia uwekezaji. https://youtu.be/tjFZRIBAL4s

SIMU.TV: Bodi ya mikopo imeongeza siku 30 kwa wadaiwa kujitokeza kwenda kuhakiki madeni yao ili waweze kurejesha fedha hizo ziweze kunufaisha wengine. https://youtu.be/uuA6prGKWpc

SIMU.TV: Kaimu mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya reli Tanzania na Zambia TAZARA amesema jitihada zitakazo linda miundombinu ya reli hiyo ni kukomesha biashara ya vyuma chakavu. https://youtu.be/Rh6J2rlyHms

SIMU.TV: Macjinjio ya Vingunguti jijini Dare es Salaam yamefunguliwa leo baada ya mamlaka ya Chakula na dawa TFDA kuridhika na uboreshaji uliofanyika katika machinjio hayo yaliokuwa yamefungwa kutokana na uchakavu na hali ya usafi kutoridhisha. https://youtu.be/ZX07Xar5c4k

SIMU.TV: Wakala wa vipimo WMA wamewataka wafanyabiashara kutumia vipimo sahihi lengo likiwa  ni kumsaidia mkulima kupitia mazao anayozalisha ambayo vipimo visivyo sahihi humuumiza mkulima. https://youtu.be/HeISVzLxMKY

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekutana na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka chini ili kueleweshana kuhusu kodi ya zuio inayotekelezwa na TRA kwa wafanya biashar na wawekezaji. https://youtu.be/HmBlk9Xi5rE

SIMU.TV: Tatizo la vifo vya mama na mtoto linalotokana na wazazi kujifungulia njiani kwa kukosa zahanati ndani ya kijiji cha Mwanje katika wilaya ya Nanyumbu limewafanya wananchi wa kijiji hicho kuchangishana kwa ajili ya kujijengea zahanati. https://youtu.be/vwxLHKIlLdg

SIMU.TV: Benki ya CRDB imekua benki pekee katika ukanda wa Afrika mashariki ambayo inakuza mapato yake kwa kasi kubwa ambapo mwaka jana imekuza mapato yake kwa asilimia 42 wakati benki nyingine zimekuza kwa asilimia 9 hadi 12.https://youtu.be/bvYj3cWykfM

SIMU.TV: Shirika la viwango TanzaniaTBS limetoa wito kwa wazalishaji na watumiaji wa bidhaa mbalimbali nchini kuzingatia ubora wa bidhaa na vifaa kabla hawajavitumia. https://youtu.be/ecSWxFA3oxM

SIMU.TV: Benki ya CANARA ya nchini India imezinduliwa hapa nchini ambapo Balozi wa India hapa Tanzania amesema hatua ya benki za nchini india kuwekeza Tanzania  ni ishara nzuri ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.https://youtu.be/-8zuAM56uSc

SIMU.TV: Mabingwa wa ligi kuu nchini Yanga wamewasili jijini Dar es Salaam leo wakitokea nchini Angola ambapo wamefuzu kucheza hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. https://youtu.be/2TuQXXTBI6c

SIMU.TV: Shirikisho la soka nchini TFF limeitaka timu ya Yanga kuachana na malalamiko yasiyo na tija na kujikita katika maandalizi ya michezo yake inayofuata. https://youtu.be/V4TTIdroLdg
SIMU.TV: Ibrahimu Ajibu amefanikiwa katka majaribio huko Afrika kusini lakini meneja wake amekasirishwa na kitendo cha mchezaji huyo kudanganya kuwa hana mkataba na Simba. https://youtu.be/iwfog9_-MME

SIMU.TV: Bodi ya ligi kuu Tanzania bara ikishirikiana na TFF imedhamiria kurekebisha mapungufu makubwa yalioyobainika katika viwanja vinavyotumika na timu mbalimbali. https://youtu.be/WhFd52W5Aj0

SIMU.TV: Wasanii chipukizi nchini wametakiwa kutokata tamaa katika kuhakikisha kuwa wanakuza kipaji chao na kuweza kufika mbali na kukuza sanaa kwa ujumla. https://youtu.be/0FpZID8bLf4

SIMU.TV: Msanii maarufu kutoka Marekani Neyo amewasili nchini jana usiku kwa ajili ya tamasha Jembeka linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Nyamagana jijini  Mwanza. https://youtu.be/tnSL0PMBrN0

SIMU.TV: Rais wa Italia amemtunuku nishani ya heshima kocha mkuu wa Leicester city Claudio Raniel alieiwezesha Leicester kupanda daraja na kubeba kombe la ligi kuu Uingereza. https://youtu.be/7Ww207go1bM

Attachments area
Preview YouTube video Dkt Shein Awaomba Mabalozi wa Tanzania Kuitangaza Vyema nchi Preview YouTube video Serikali ya Zanzibar Yatuma salamu za Rambirambi Oman Preview YouTube video Serikali ya Zanzibar Ina Imani na Ofisi ya DPP Preview YouTube video Serikali Zanzibar Kuongeza Wawekezaji Preview YouTube video Hospitali Mnazi Mmoja Zanzibar Yapata Msaada wa Vifaa Preview YouTube video ZRB Zanzibar Kuongeza Ukusanyaji Mapato Preview YouTube video Wanawake Nchini Watakiwa Kujiongeza Kitaaluma Preview YouTube video Zanzibar Watakiwa Kutunza Mazingira Preview YouTube video Hospitali Wete Yakosa Vifaa vya Upasuaji Preview YouTube video Yanga Wakimataifa Wapokewa Kifalme Dar es salaam Preview YouTube video Ripoti Maalumu Ya Hali Ya Uchumi Tanzania Preview YouTube video Wadaiwa Bodi Ya Mkopo Waongezewa Siku 30 Kuhakiki Madeni Preview YouTube video Juhudi Za Kuinusuru Miundo Mbinu Ya TAZARA Preview YouTube video TFDA Yafungulia Machinjio Ya Vingunguti Preview YouTube video WMA Yasisitiza Matumizi Ya Vipimo Sahihi Preview YouTube video TRA Yakutana Na Wawekezaji Wa China Preview YouTube video Wananchi Waamua kujenga Zahanati Kwa Nguvu Zao Wenyewe Preview YouTube video CRDB Yaadhimisha Miaka 20 Preview YouTube video TBS Yasisitiza Ubora Wa Bidhaa Preview YouTube video Benki Ya CANARA Yazindua Huduma Tanzania Preview YouTube video Yanga Wapokelewa Kwa Mbwembwe Preview YouTube video Yanga Yaaswa Kuacha Malalamiko Preview YouTube video Meneja Asikitishwa Na Uongo Wa Ajibu Preview YouTube video Bodi Ya Ligu Kurekebisha Viwanja Preview YouTube video Wasanii Chipukizi Waaswa Kutokata Tamaa Preview YouTube video Neyo Atua Tanzania Preview YouTube video Kocha Wa Leicester Atunukiwa Nishani Ya Heshima
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA CHAKE CHAKE,MKOA WA KUSINI PEMBA LEO.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

TFF YATANGAZA MAJINA YA WACHEZAJI 30 WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU