HABARI KUTOKA TELEVISHENI


SIMU.TV: Rais Magufuli aendelea kusisitiza kutafutwa kwa wafanyabiashara wote wanaohusika na kuficha kwa sukari nchini na kufikishwa mahakamani; https://youtu.be/TvgTbD1Jw7c SIMU.TV: Madiwani kote nchini wametakiwa kuhakikisha wanaziba mianya ya uvujaji wa wa mapato katika halmashauri zao; https://youtu.be/t81WffjkKtw SIMU.TV: Wakuu wa wailaya katika mikoa ya Tabora, Kigoma na Shinyanga wamesema kero kubwa wanazokutana nazo ni migogoro ya ardhi katika wilaya zao; https://youtu.be/Nv-qnt2tTP4 SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Ali Hapi amewataka wenyeviti wote wa mitaa katika wilaya yake kuwafichua na kubandika picha zao wale wote wanaokiuka agizo hilo; https://youtu.be/nzaTqL49nAY SIMU.TV: Watendaji wa mitaa nchini wametakiwa kuwa wawazi na ukweli katika utendaji kazi wao ili kuepusha malalamiko kutoka kwa wananchi; https://youtu.be/Upxmon2aOTA SIMU.TV: Mahojiano maalumu na taasisi ya Brighter Monday inayojishughulisha na udalali wa ajira nchini; https://youtu.be/hRhe3ahe5aw SIMU.TV: Timu ya Soka ya Yanga yazidi kujiimarisha kimataifa baada ya kufanikiwa kuwafunga Esperanca ya Angola kwa jumla ya mabao 2-0 katika michuano ya Shirikisho barani Afrika; https://youtu.be/izTWMyG7RzY SIMU.TV: Stand United yalizamisha jahazi la Coastal Union hapo jana baada ya kuwafunga mabao 2-1; https://youtu.be/pbw8ixwoJn4 SIMU.TV: Serikali yatoa siku 14 kwa vyama vyote vya michezo nchini kufanya uchaguzi wa viongozi wapya na watakaokiuka agizo hilo wafutwe; https://youtu.be/5N4Ih9-2rmA SIMU.TV: Hospitali ya taifa ya Muhimbili inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu ili kukidhi mahitaji ya wagonjwa wanaofika katika hospitali hiyo; https://youtu.be/Ei-PYnQcc-U SIMU.TV: Wafanyabiahara wa biashara ndogondogo maarufu kama machininga wameiomba serikali kuwapa muda ili waweze kuondoka na kuhamia maeneo yaliotengwa kwa ajili ya kufanyia biahara zao. https://youtu.be/8oi1G6HIAPQ SIMU.TV: Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi ametoa wito kwa maafisa ardhi na mipango miji kuwaelimisha wananchi kuhusu mipango yao ya sasa na baadae ili kuepusha kubomolewa kwa sababu kujenga maeneo yasiyoruhusiwa; https://youtu.be/puJR_CoafI0 SIMU.TV: Baadhi ya wakazi wa yombo wamelalamikia uchakavu wa daraja la gari moshi hali ambayo inahatarisha maisha ya wakazi hao. https://youtu.be/0Idv_tGV3ds SIMU.TV: Stand united hapo jana imefanikiwa kuifunga timu ya Coastal Union mabao mawili kwa moja na kuifanya coastal union kushuka daraja. https://youtu.be/cBg3qEEKnW8 Attachments area Preview YouTube video Magufuli Alala Mbele wa Wahujumu Sukari Magufuli Alala Mbele wa Wahujumu Sukari Preview YouTube video Madiwani Nchini Dhibitini Mianya ya Upotevu wa Mapato Madiwani Nchini Dhibitini Mianya ya Upotevu wa Mapato Preview YouTube video Wakuu wa Wilaya Wachoshwa na Migogoro ya Ardhi Wakuu wa Wilaya Wachoshwa na Migogoro ya Ardhi Preview YouTube video DC Hapi Asisitiza Usafi Kinondoni Lazima DC Hapi Asisitiza Usafi Kinondoni Lazima Preview YouTube video Watendaji wa Mitaa Watakiwa kuwa Wazi na kweli Watendaji wa Mitaa Watakiwa kuwa Wazi na kweli Preview YouTube video Mahojiano Maalumu na Brighter Monday Mahojiano Maalumu na Brighter Monday Preview YouTube video Yanga ya Kimataifa Mbele kwa Mbele Yanga ya Kimataifa Mbele kwa Mbele Preview YouTube video Coastal Union Bye Bye Ligi Kuu, Simba kujiuliza kwa Mwadui Leo Coastal Union Bye Bye Ligi Kuu, Simba kujiuliza kwa Mwadui Leo Preview YouTube video Serikali Yavitaka Vyama vya Michezo kufanya Uchaguzi Serikali Yavitaka Vyama vya Michezo kufanya Uchaguzi Preview YouTube video Muhimbili Yakabiliwa Na Upungufu Wa Damu Muhimbili Yakabiliwa Na Upungufu Wa Damu Preview YouTube video Machinga Waomba Kuongezewa Muda Machinga Waomba Kuongezewa Muda Preview YouTube video Wananchi Watakiwa Kupewa Elimu Ya Ardhi Wananchi Watakiwa Kupewa Elimu Ya Ardhi Preview YouTube video Daraja Lahatarisha Maisha Ya Wakazi Yombo Daraja Lahatarisha Maisha Ya Wakazi Yombo Preview YouTube video Coastal Yashuka Daraja

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA