HABARI KUTOKA VITO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais Dkt. Magufuli amewataka wafanyabiashara wote waliohodhi sukari katika maghala yao kuanza kuisambaza kabla hatua za kisheria kuchukuliwa.        https://youtu.be/1NqeChCo_ns

SIMU.TV:  Klabu ya Yanga inashuka dimbani hii leo katika mechi ya kwanza ya mchujo ya kuwania kucheza hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya timu ya Esperansa.                https://youtu.be/C3DpkyvrHzk

SIMU.TV: Wananchi katika wilaya ya Rorya mkoani Mara wametoa malalamiko kwa serikali kuhusiana na  kitendo cha wafanya biashara kupandisha bei ya sukari. https://youtu.be/ZuZfZd36S3I

SIMU.TV: Zaidi ya tani 4579 za sukari zimekamatwa jijini Dar es Salaam baada ya rais Magufuli kuviagiza vyombo vya dola kufanya msako wa kuwabaini wanaoficha sukari.            https://youtu.be/mkySV9ViCVE

SIMU.TV:  Shirikisho la soka la kimataifa FIFA limeipiga faini ya Sh. Mil. 4.6 klabu ya Simba kwa kosa la kupuuza  maagizo ya idara ya utatuzi wa migogoro. https://youtu.be/YDeZO8Qf_KY

SIMU.TV: Manispaa ya Ilala  yawapa siku 2 wafanyabiashara wadogowadogo kuondoka katika maeneo ya pembezoni mwa barabara za mabasi yaendayo kasi;https://youtu.be/tDUsagsRtIE

SIMU.TV:  Jeshi la zima moto na uokoaji limefanikiwa kuokoa jengo la shirika la Taifa la hifadhi ya jamii la NSSF  lililoshika moto hapo jana jioni.   https://youtu.be/tGse51APHKY

SIMU.TV:  Shule ya msingi Mtipa katika manispaa ya Singida yapata msaada wa madawati baada ya wanafunzi kukosa madawati kwa miaka mingi; https://youtu.be/B6XtkdyQhSU

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)