SIMU.TV: Rais Magufuli ameungana na waumini wa parokia ya toleo la bwana mkoani arusha na amewaomba watanzania kuendelea kuiyombea nchi yao: https://youtu.be/64Q4lVfhZD4
SIMU.TV: Kuharibika kwa maadili kunachangiwa na wazazi kutokua karibu na watoto wao na vijana kutumia mitandao ya kijamii:https://youtu.be/wpN5YRA4ZE4
SIMU.TV: ugonjwa wa saratani ya macho unasemekana ni ugonjwa hatari sana hapa nchini ususani kwa watoto wenye umri mdogo :https://youtu.be/LGDgBfj4gzM
SIMU.TV: Tumaini media imezindua maandalizi ya tamasha la nyimbo za injili pamoja na vipindi vya malezi na maadili kwa vijana na watoto. https://youtu.be/MGENwejFKFo
SIMU.TV: Club ya Yanga imetetea ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara baada ya timu ya Simba kufungwa goli moja na timu ya Mwadui FC. https://youtu.be/kP778cpQhfs
SIMU.TV: Serikali imekiri kuwa adhabu inayotolewa kwa makosa ya vitendo vya rushwa ni ndogo hivyo serikali imejipanga kuifanyia marekebisho sheria ya rushwa: https://youtu.be/7u5iOuEuPM0
SIMU.TV: Muhimbili yakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu ili kukidhi mahitaji ya wagonjwa wanaofika katika hospitali hiyo; https://youtu.be/Ei-PYnQcc-U
Preview YouTube video Waumini Wa Kikristo Waombwa Kuiyombea Nchi Amani
Preview YouTube video Mitandao Itumike Kujiimarisha
Preview YouTube video Saratani Ya Macho Kwa Watoto
Preview YouTube video Tumaini Media Yajipanga Kuwasaidia Vijana Na Watoto
Preview YouTube video Yanga Yapeperusha Bendera Ya Ligi Kuu 1
Preview YouTube video Serikali Imekiri Udhaifu Katika Kupambana Na Rushwa
Preview YouTube video Muhimbili Yakabiliwa Na Upungufu Wa Damu
Comments