4x4

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV:  Serikali imewaonya raia wake toka Burundi wanaoishi katika kambi ya Bulyanhulu mkoani Tabora kuacha vitendo vianavyoashiria uvunjifu wa amani.    https://youtu.be/qF8wHZ_lWNM

SIMU.TV:   Bodi ya wabunifu wa majengo na wakadiriaji wa majenzi imezindua kampeni ya kuhamasisha wanafunzi mashuleni kote nchini kupenda masomo ya sayansi.     https://youtu.be/7r4yJ60i-h8

SIMU.TV;   Wamachinga eneo la Kariakoo wamejikuta wakitawanywa na mabomu ya machozi baada ya kutaka kuzuia msafara wa rais  ili waweze kueleza dukuduku zao; . https://youtu.be/ZSYNdbB_Xto  

SIMU.TV; Baadhi ya wananchi katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam wamepomgeza juhudi za serikali katika kutekeleza mradi wa barabara ya juu katika eneo la Tazara yaani fly over. https://youtu.be/Hg7Z0RQ5Y3g  

SIMU.TV:  Ligi kuu Vodacom kurindima leo hii katika uwanja wa taifa ambapo bingwa wa ligi kuu atakabidhwa kombe la ubingwa;  https://youtu.be/7DxcXh0PUQE

SIMU.TV:  Waamuzi watakaochezesha mchezo wa masumbwi leo watakiwa kufuata sheria na kuondoa uzalendo wa kutetea nchi zao; https://youtu.be/AdJnQa-NFYM 

SIMU.TV:  Afisa elimu mkoani Lindi amewataka walimu  mkoani humo kuwa chachu ya mabadiliko ili kuwezesha serikali kutimiza lengo la kuinua elimu nchini; https://youtu.be/B4UWno_L6S0

Post a Comment