4x4

MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA ARDHI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 YAPITISHWA.

ar1Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi na naibu waziri wake Mhe. Angelina Mabulla wakifuatilia hoja za wabunge wa mapitio makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha 2016/20
ar2Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi akijibu hoja bungeni wakati wa mapitio ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha 2016/2017
ar3Naibu waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabulla akipongezwa na watendaji wa Wizara nje ya ukumbi wa bunge baada ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kupitishwa na bunge   kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
ar4Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Angelina Mabulla akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Yamungu Kayandabila Nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa kwa mwaka wa fedha 2016/2017
ar5Mhe. William Lukuvi Waziri wa Ardhi na Naibu Waziri Mhe. Angelina wakiwa na baadhi ya watendaji wa Wizara Nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kupitishwa na bunge   kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Post a Comment