MATUKIO YA BUNGENI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia), akijadliana jambo na Mbunge wa Viti Maalum, Martha Mlata kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma 
Mbunge wa Viti Maalum, Kiteto Koshuma (CCM), AKIINGIA BUNGENI dODOMA
Waziri a Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angela Kairuki  (kushoto), akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Kamishna  Valentino Mlowola (kulia0 pamoja na maofisa wengine. 9Katikati ni aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kinondoni, Charles Kenyela.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo
 akijibu hoja za wabunge wakati wa makadilio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2016/2017  ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) bungeni, Dodoma
Cahrles Kitwanga akijibu hoja bungeni

Wabunge wakiingia bungeni

Mbunge wa Morogoro Kusini, Prosper Mbena (kulia), akiwa na Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Allan Kiula walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma

Mbunge wa Jimbo la Mtambile, Zanzibar, Masoud Ali Abdallah akihoji changamoto za Muungano  wakati wa makadilio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2016/2017  ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) bungeni, Dodoma
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba akiwasilisha hotuba ya makadilio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017 ya wizra hiyo bungeni Dodoma
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo (CCM) kushoto, akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Steven Masele (kushoto), akizungumza na Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda kwenye viwanja vya Bunge
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Mary Nagu akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kuhusu bajeti ya wizara hiyo.
Waziri Kivuli wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Magdalena Sakaya akiwasilisha maoni ya bajeti ya wizara hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU