SIMU.TV: Mbunge wa Ndada Mhe.Davidi aamua kuitolea serikali uvivu kufuatia wanawake kituo cha Chiwale kujifungulia kwenye wodi za kawaida.https://youtu.be/ f5hHHgWQ2YM
SIMU.TV: Mhe.Riziki Shahari aihoji serikali juu ya wajawazito kuzalishwa na wataalam wa kiume ikilinganishwa na mila na desturi za Kiafrika. https://youtu.be/KFR46gY6eIA
SIMU.TV: Mbunge wa Muheza Mhe.Adad aitaka serikali kueleza lini itajenga viwanda Muheza ili wakulima waweze kunufaika na mazao yao. https://youtu.be/9VdOGXy7bvg
SIMU.TV: Je ni lini serikali itaacha kuagiza toothpick kutoka nje? Sikiliza jinsi Mhe.Mwijage anavyodadavua majibu ya swali hilo. https://youtu.be/byNPFvaKI6Q
SIMU.TV: Sikiliza alichokisema Mhe.Nape Nauye alivyoelezea dhamira ya serikali juu ya ujenzi wa vituo vya michezo ya riadha mkoani Manyara. https://youtu.be/9E0xEumSim4
SIMU.TV: Mh.Bashungwa (Karagwe) ahoji mikakati ya serikali kuhakikisha benki za TIB na TADB zinatekeleza kwenye utekelezaji wa ilani ya CCM;https://youtu.be/FHSc6F3voFU
SIMU.TV: Mbunge wa Kilindi Mhe.Kigua aitaka serikali kupeleka ofisi ya TRA wilayani Kilindi ili wananchi waweze kulipa kodi kikamilifu;https://youtu.be/kKdAHTlQWv0
SIMU.TV: Mbunge waTunduru Mhe.Idd Mpakate aitaka serikali kutoa fedha kwaajili ya ukamilishaji wa miradi ya maji; https://youtu.be/ez92dShDtao
Preview YouTube video Ujenzi Wa Vituo Vya Afya
Preview YouTube video Changamoto Za Afya Na Mila Za Kiafrika
Preview YouTube video Ujenzi Wa Viwanda Tanga
Preview YouTube video Mwijage Na Vita Dhidi Ya Toothpick
Preview YouTube video Ukuzaji Wa Michezo
Preview YouTube video Utekelezaji Wa Llani Ya CCM
Preview YouTube video Ofisi Ya TRA Kilindi
Preview YouTube video Ukamilishaji Wa Miradi Ya Maji
Comments