4x4

MIJADALA YA BUNGE

SIMU.TV: Hotuba ya bajeti ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia na wazee na watoto kwa mwaka wa fedha 2016/2017 yawasilishwa mezani.    https://youtu.be/_i2Qhr84wzs

SIMU.TV: Omari ahoji mpango wa serikali kuzibana na kuziamuru halmashauri zote nchini kutenga asilimia 5 ya fedha za mapato ya ndani kwa vijana na wanawake.    https://youtu.be/ei9_-iv41SQ

SIMU.TV: Nini hatma ya ujenzi wa wodi za watoto na mama wajawazito kulingana na idadi ya watoto na akina mama wanaohudumiwa.    https://youtu.be/r08LSSDrqK0

SIMU.TV: Mhe. Kanyansu aihoji serikali juu ya  kuifanya shule ya sekondari ya Nyankumbu ilijengwa na mradi wa GGM kuwa ya bweni.     https://youtu.be/0G2VMz-Pook

SIMU.TV: Haya hapa majibu ya serikali juu ya mashirika yanayoshindwa kuendesha mashamba yaliyochukuliwa kutoka kwa wananchi.   https://youtu.be/FTT0B3dwspQ

SIMU.TV: Mhe. Mattar Salum aikalia kooni serikali ukarabati wa nyumba za askari kutokana na nyumba hizo kuchakaa sana;https://youtu.be/uYdFKoTsTR8

SIMU.TV:  Hatimaye kwa mara nyingine tena serikali yawakumbuka wachimbaji wadogo wa madini wilayani Busiri;https://youtu.be/_QLsqIqPBxk

SIMU.TV: Fahamu mambo yanayosababisha viwanda vingi nchini kusuasua katika uzalishaji na vingine kufungwa kabisa; https://youtu.be/TEgqE5bdFRs

SIMU.TV: Je ni lini serikali itaweka msukumo katika mikoa ili iweze kuzalisha kwa wingi mazao katika mikoa hiyo? https://youtu.be/-v17_Uz72zs   


Post a Comment