SIMU.TV: Hii hapa hotuba bajeti ya wizara ya ujenzi, uchukuzi na mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2016/2017.https://youtu.be/ uA5cZlyYvIs
SIMU.TV: Mbunge wa Maswa mashariki Mhe. Nyongo aihoji serikali juu ya vigezo vilivyotumika kuamua makao makuu ya mkoa Simiyu kuwa Bariadi badala ya Maswa. https://youtu.be/qyxj9vjDYNk
SIMU.TV: Baadhi ya abiria wanaotumia mabasi yaendayo haraka wamezishauri mamlaka husika kuweka jenereta ili kutoa huduma za ukataji tiketi pindi umeme utakapokatika;https://youtu. be/Y0BWiOx76j8
SIMU.TV: Vijana 76 wenye umri kati ya 16 wanaojihusisha na kundi la uporaji Panya Road wametiwa mbaroni na jeshi la polisi. https://youtu.be/YhPwjT8Jq-4
SIMU.TV: Haya hapa majibu ya serikali juu ya namna itakavyoweza kuwasaidia wakulima wa tumbaku mkoani Tabora ikiwa mkoa huo hauna viwanda. https://youtu.be/tJLiun48aNk
SIMU.TV: Je serikali iko tayari kufuta uamuzi uliotolewa na mkuu wa mkoa wa Manyara wa kuwazuia wakulima ili kuondoa migogoro ya ardhi? https://youtu.be/oN2CigQ5alY
SIMU.TV: Mhe. Sixtus Mapunda ataka serikali kulinda soko la wakulima wadogo wa kahawa kufuatia ongezeko la wakulima wakubwa wa zao hilo. https://youtu.be/3b4aWW2f5iM
SIMU.TV: Mh.Norman Sigara aitaka serikali kuboresha miundombinu ya barabara ili kuunganisha mkoa wa Njombe na Mbeya.https://youtu.be/bNbx5-SsS8Q
SIMU.TV: Sikiliza kauli ya serikali juu ya ujenzi wa vituo vya polisi Liwale na nyumba za askari ambao bado wanaishi nje ya kambi za polisi.https://youtu.be/YbTSdTnMvuQ
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa mkuruenzi wa urejeshaji wa mikopo akikujuza kuhusu changamoto za urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu: https://youtu.be/cyrhLYJbjaI
SIMU.TV: Jifunze mambo mengi kutoka kwa mwanasheria wa TAMWA akikufahamisha kuhusu masuala ya mimba za utotoni.https://youtu.be/BvMac17KaqI
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa mkuruenzi wa urejeshaji wa mikopo akikujuza kuhusu changamoto za urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu. https://youtu.be/FFnV--kXuso
Preview YouTube video Hati za kuwasilisha Mezani
Preview YouTube video vigezo vilivyotumika kuamua makao makuu ya mkoa simiyu new
Preview YouTube video Utaratibu Wa Mabasi Ya Mwendokasi Wakosolewa
Preview YouTube video Panya Road 76 Watiwa Mbaroni Dar
Preview YouTube video Kilimo cha Tumbaku Mkoani Tabora
Preview YouTube video Migogoro ya Ardhi Manyara
Preview YouTube video Kilimo Cha Kahawa
Preview YouTube video Ujenzi Wa Barabara Njombe
Preview YouTube video Ujenzi Wa Vituo Vya Polisi Liwale new
Preview YouTube video Kinga Ya Malaria Kwa Wasafiri
Preview YouTube video Mimba Za Utotoni
Preview YouTube video Changamoto Za Urejeshaji Wa Mikopo Ya Elimu Ya Juu
Comments