4x4

MIJADALA YA BUNGE

SIMU.TV: Mbunge wa Magu Mhe. Kiswaga aihoji serikali juu ya upandishaji hadhi wa kituo cha afya cha Kisesa kuwa hospitali kamili.  https://youtu.be/a_L5_SE3W1Y

SIMU.TV: Je serikali ipo tayari kutenga maeneo kwa ajili ya vijana na akina mama kwa ajili ya shughuli za ujasiliamali na kilimo.  https://youtu.be/AAm3UxEWRJk

SIMU.TV: Je Serikali imepokea kiasi gani cha fedha toka kwa wafadhiri ili kupunguza athari za mabadiliko ya tabia ya nchi? Mhe. Mpina ajibu  https://youtu.be/Mi812QZ0ZfU

SIMU.TV: Make your visit at Arusha a memorable one by visiting  Mecury Hotel the best hospitable hotel in town located at Sakina.  https://youtu.be/Hcyp3ll2T7Q

SIMU.TV: Mh.Esther Bulaya achoshwa na hali ya wananchi wa vijiji vya Guta,Tairo,  Nyamtare na Nyambehu kuvamiwa na  mamba, aitaka serikali kuwajibika.  https://youtu.be/lj2KSt2vlDw

SIMU.TV: Mbunge wa Tunduma Mh.Frank Mwakajoka aitaka serikali kupeleka huduma za zima moto wilayani humo ili kuokoa mali za wafanyabiashara.  https://youtu.be/tl3DZCfLSeg

SIMU.TV: Mhe. Isaack Kamwele atoa ufafanuzi juu ya serikali ilivyojipanga kuwapatia maji ya kutosha wananchi wa Igunga.  https://youtu.be/QAlYm-i4ZWc

SIMU.TV: Mh.Joseph Kakunda mbunge wa Sikonge aihoji serikali juu ya hatua za dharura za ukarabati wa barabara ya Ipole Tabora- Mpanda   https://youtu.be/9ZJjEO7SdRA

SIMU.TV: Sikiliza majibu ya serikali juu ya usumbufu wa kupata visa kwa wananchi wa Tanzania wanapotaka kusafiri kwenda Uingereza;    https://youtu.be/7wZSCymk6_g

SIMU.TV: Naibu waziri wa nishati na madini Dkt. Medard Kalemani akielezea kuhusu usambazaji  wa huduma za umeme katika tarafa za Mbulu vijijini.   https://youtu.be/baunWSlD6k8

SIMU.TV: Mh.Suleman Kaunje mbunge wa Lindi mjini aitaka serikali kuweka bayani lini itaanzisha programu maalumu ya kuendeleza utalii kusini kama ilivyobainisha kwenye ilani.     https://youtu.be/k30avhLdjUg

Post a Comment