SIMU.TV: Mhe. Dkt. Philip Mipango atoa majibu ya serikali juu ya malipo ya stahiki za wastaafu wa jumuiya ya Afrika mashariki iliyovunjika. https://youtu.be/HbqoIkQ2v2w
SIMU.TV: Mbunge wa Magomeni aihoji serikali juu ya namna ilivyojipanga kusaidia wananchi kuweza kuanzisha na kufufua viwanda nchini. https://youtu.be/kQdNI_gfMEk
SIMU.TV: Je serikali ina mpango gani wa kuongeza kasi ya usambazaji wa umeme katika wilaya ya rorya? Mhe. Kalemani atoa ufafanuzi. https://youtu.be/v9-WyajlYoM
SIMU.TV: Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee aihoji serikali juu ya ukamilishaji wa ujenzi wa barabara ya kuanzia Tegeta, wazo hill hadi Madale. https://youtu.be/Teemmv9RfuM
SIMU.TV: Mhe.Jumaa Aweso aitaka serikali kutimiza ahadi iliyotolewa na Mh.Kikwete ya ujenzi wa barabara ya Tanga, Pangani hadi Saadani. https://youtu.be/szmabGTphTc
SIMU.TV: Mh.Grace Tendega akichangia hoja ya wizara ya elimu na ufundi akieleza changamoto mbalimbali amazo serikali haijashughulikia. https://youtu.be/wEjf8bgm_aA
SIMU.TV: Serikali imetoa siku 7 kwa rais wa PST kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua kwa kitendo cha kuwapiganisha watoto wenye umri chini ya miaka 10. https://youtu.be/AWKyOT_fGwQ
SIMU.TV: Kampuni ya simu TTCL imezindua rasmi huduma mpya ya mtandao wa kisasa wa4G LTE ili kuboresha mwelekeo wa kibiashara. https://youtu.be/UAA76Rd6fZg
SIMU.TV: Mh. Lucia Mlowe mbunge viti maalum Chadema alia na serikali vigezo vya kutolea mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. https://youtu.be/8KHzgMtdY_4
SIMU.TV: Mh.Edwin Sannda aitaka serikali kuwekeza kwa kiasi kikubwa ili kubadili sekta hiyo kwaajili ya vizazi vijavyo. https://youtu.be/km310lEFnDE
Comments