MIJADALA YA BUNGE

SIMU.TV: Hii hapa hotuba bajeti ya wizara ya ujenzi, uchukuzi na mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2016/2017.https://youtu.be/uA5cZlyYvIs

SIMU.TV: Mbunge wa Maswa mashariki Mhe. Nyongo aihoji serikali juu ya vigezo vilivyotumika kuamua makao makuu ya mkoa Simiyu kuwa Bariadi badala ya Maswa.   https://youtu.be/qyxj9vjDYNk

SIMU.TV: Baadhi ya abiria wanaotumia mabasi yaendayo haraka wamezishauri mamlaka husika kuweka jenereta ili kutoa huduma za ukataji tiketi pindi umeme utakapokatika;https://youtu.be/Y0BWiOx76j8

SIMU.TV: Vijana 76 wenye umri kati ya 16 wanaojihusisha na kundi la uporaji Panya Road wametiwa mbaroni na jeshi la polisi.   https://youtu.be/YhPwjT8Jq-4

SIMU.TV:  Haya hapa majibu ya serikali juu ya namna itakavyoweza kuwasaidia wakulima wa tumbaku mkoani Tabora ikiwa mkoa huo hauna viwanda. https://youtu.be/tJLiun48aNk

SIMU.TV: Je serikali iko tayari kufuta uamuzi uliotolewa na mkuu wa mkoa wa Manyara wa kuwazuia wakulima ili kuondoa migogoro ya ardhi?  https://youtu.be/oN2CigQ5alY

SIMU.TV: Mhe. Sixtus  Mapunda ataka serikali kulinda soko la wakulima wadogo wa kahawa kufuatia ongezeko la wakulima wakubwa wa zao hilo. https://youtu.be/3b4aWW2f5iM

SIMU.TV: Mh.Norman Sigara aitaka serikali kuboresha miundombinu ya barabara ili kuunganisha mkoa wa Njombe na Mbeya.https://youtu.be/bNbx5-SsS8Q

SIMU.TV: Sikiliza kauli ya serikali juu ya ujenzi wa vituo vya polisi Liwale na nyumba za askari ambao bado wanaishi nje ya kambi za polisi.https://youtu.be/YbTSdTnMvuQ

SIMU.TV: Fahamu mambo mengi  kutoka kwa mkuruenzi  wa urejeshaji wa mikopo akikujuza  kuhusu changamoto za urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu: https://youtu.be/cyrhLYJbjaI

SIMU.TV: Jifunze mambo mengi kutoka kwa mwanasheria wa TAMWA akikufahamisha kuhusu masuala ya mimba za utotoni.https://youtu.be/BvMac17KaqI

SIMU.TV: Fahamu mambo mengi  kutoka kwa mkuruenzi  wa urejeshaji wa mikopo akikujuza  kuhusu changamoto za urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu.  https://youtu.be/FFnV--kXuso

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA