4x4

MMOA WA WAANZILISHI WA HIPHOP NCHINI AWA MUANDAAJI NA MTAYARISHAJI MZURI WA MUZIKI NJE YA TANZANIA
Mmoja wa waasisi wa muziki wa kufoka foka nchini Chief Rhymson kutoka kundi la Kwanza Unit ambaye kwa sasa anafahamika kwa jina la Zavara ameendelea kufanya kazi zake za kimuziki katika eneo la uandaaji, uongozaji na kutengeneza video na hii moja ya kazi ya mikono yake inayozunguka duniani.

Attachments area Preview YouTube video Nasambu ~ 'Nuru' ~ 2016 Official Music Video
Post a Comment