4x4

PICHA LUKUKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI YALIYOOONGOZWA NA RAIS MAGUFULI DODOMA

 Wafanyakazi wakiwa wameshikana mikono  walipokuwa wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye Uwanja wa Jamhuri, Mjini Dodoma
 Rais John Magufuli (wa tatu kushoto) akiwa ameshakana mikono  na baadhi ya viongozi wakati wa kuimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye Uwanja wa Jamhuri, Mjini Dodoma . Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,  Jenista Mhagama na kutoka kulia ni, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais wa Tucta, Gratian Mucoba.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Rais John Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho hayo.
 Msondo Ngoma wakitumbuiza
 Kikundi cha Sanaa cha Nyota kikitumbuiza


 Rais Magufuli akiwasili uwanjani na kuloakiwa na makamu wake, Samia Suluhu Hassan
 Maandamano ya wafanyakazi

 Hata wachina walikuwemo

 Wna CCM haooooo
 Waalimu haoooo Waalimu wakitembelea magoti ikiwa ni ishara ya kumuomba Rais John Magufuli asaidie kuboresha masilahi yao wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye Uwanja wa Jamhuri, Mjini Dodoma
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Kiboko wakiwa wamebeba mifuko ya saruji walipokuwa wakiandamana wakati wa maadhimisho hayo.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Kiboko wakiwa wamebeba mifuko ya saruji walipokuwa wakiandamana wakati wa maadhimisho hayo.
 Tanesco haooo

 Madaktari wakipambana na wagonjwa wa akili Hospitali ya Milembe
 Tingatinga mbele ya Tingangatyinga Rais Magufuli
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana akihutubia
 Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE, Almasi Maige akihutubia
 Waziri Jenista Mhagama akihutubia
 Rais wa Tucta, Gratian Mucoba akinyanyua kombe walilokabidhiwa na Rais Magufuli kwa kuandaa vizuri sherehe hizo
 Katibu Mkuu wa Tucta, Nicholous Mgaya akihutubia
Sehemu ya umati wa wafanyakazi na wananchi waliohudhuria maadhimisho hayo
Post a Comment