4x4

PICHA LUKUKI ZA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO

 Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Omary Kigua (CCM), akichangia hoja katika kikao cha majadiliano ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini bungeni Dodoma, ambapo aliitaka serikali kufungua ofisi ya madini jimboni kwake kusaidia kwa urahisi wachimbaji wadogo wadogo.

Post a Comment