RAIS ATANGAZA PUNGUZO LA KODI YA MSHAHARA KWA WAFANYAKAZI

Rais Magufuli ametangaza kupunguzwa kwa kodi ya mishahara ya wafanya kazi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9 wakati akihutubia kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mkoani Dodoma https://youtu.be/jBJiTBcBy5w

Rais Magufuli asema serikali imelenga kuhakikisha kwamba wananchi wengi wanajiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii hasa ile ya bima za afya. https://youtu.be/mdFDuduqX-A  

Rais Magufuli awataka waajiri kuhahakikisha kuwa wanalipa fedha za wafanyakazi wao kwa wakati kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuwaepusha na usumbufu pale wanapostaafu https://youtu.be/xOCusYmkhRo

Rais Magufuli amewavunja mbavu wafanyakazi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya wafanya kazi baada ya kuwaita mawaziri wake waalimu akikumbushia taaluma zao za zamani . https://youtu.be/zEzC4Na8DIE

Rais Magufuli amesema kuna uwezekano mkubwa kwa serikali kuongeza mishahara ya watumishi nchini jambo ambalo litahitaji mazungumzo na wawakilishi wa TUCTA; https://youtu.be/I0sqErl6nV0

Magufuli awataka waajiri wote nchini kuwaruhusu wafanyakazi wao kujiunga na vyama vya wafanyakazi ili kuwawezesha kushughulikiwa kwa malalamiko yao; https://youtu.be/bUfpGeT5qNc

Rais Magufuli amesema idadi ya watumishi na madeni hewa yanavyozidi kuongezeka nchini yanamsikitisha sana na wakati mwingine anajutia hata kwanini aliomba urais; https://youtu.be/FmM-TGwDZ4Q

Washindi mbalimbali wa vikundi vya michezo wakipokea zawadi zao mbele ya mgeni rasmi Rais Magufuli;https://youtu.be/-hmoNX-j9wg

Tazama burudani kutoka kwa wagogo wakitumbuiza kwenye maadhimisho ya mei mosi mkoani Dodoma;https://youtu.be/-gqxO7N2XDM
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)