RAIS DKT .SHEIN AWAAPISHA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein   akimuapisha Mhe,Ayoub Mohammed Mahmoud   kuwa   Mkuu wa Mkoa wa Mjini  Magharibi Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein   akimuapisha Mhe,Vuai Mwinyi Mohammed   kuwa   Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kati, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein   akimuapisha Mhe,Marina Joel Thomas   kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Mjini   Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Silima Haji Haji  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Hassan Ali Kombo  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini  “A” Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Issa Juma Ali   kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Mashavu Sukwa Said kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Idrissa Kitwana Mustafa  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Kusini  Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Salama Mbarouk Khatib  kuwa   Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha zote na Ikulu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.