TADB YAFANYA SEMINA KWA WABUNGE


 Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakichangia mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.






 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Aliyesimama) akizungumza wakati wa Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Mary Nagu.


 Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Bw. Thomas Samkyi akiwasilisha Mada kuhusu Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake mbele ya  Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


 Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Sera wa TADB, Bw. Francis Assenga akiwasilisha Mada ya Mpango Mkakati wa TADB na Utekelezaji wake kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Pascal akiwasilisha Mada kuhusu Utoaji wa Huduma za Mikopo na Matokeo Tarajiwa kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.






 Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.
 Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakichangia mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Florens Turuka (Kulia) akifuatilia kwa makini mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Soni (Katikati) akizungumza na viongozi waandamizi wa TADB, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo, Bw. Robert Pascal (Kulia) wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA