4x4

UKARABATI WA MV MAGOGONI UKIENDELEA


 Mafundi wa Kampuni ya Songoro Marine Boat yard Ltd wakiendelea na kazi ya ukarabati  wa kivuko cha Mv Magogoni kilichosimamisha huduma zake kwa ajili ya ukarabati mkubwa.(Picha na Theresia Mwami – TEMESA)

Post a Comment