WADAU WA MICHEZO WAOMBWA KUENDELEA KUJITOKEZA NA KUWEKEZA KATIKA MCHEZO WA RIADHA

WAM1Washiriki wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 kutoka Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mashindano hayo kufunga rasmi jana jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija,WHUSM
WAM2Naibu Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Mchezo wa Riadha Afrika Mashariki Mhandisi Sadick Ibrahim (katikati) jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufungaji wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 jana jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe.
WAM3
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akiwapungia mkono washiriki wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 alipokuwa mgeni rasmi wakati wa ufungaji wa mashindano hayo jana jijini Dar es Salaam.Kulia ni Rais wa Shirikisho la Mchezo wa Riadha Afrika Mashariki Mhandisi Sadick Ibrahim na kushoto ni Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe.
WAM4Naibu Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akisalimiana na Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufungaji wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20.Katikati ni Katibu wa Naibu Waziri Bibi. Anna Nkinda.
WAM5Makamu wa Raisi wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Bw. William Kallaghe akisoma taarifa fupi juu ya mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 mbele ya Naibu Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura(kulia mwenye miwani) jana jijini Dar es Salaam.
WAM6Baadhi ya washiriki wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 kutoka nchi mbalimbali wakipita mbele ya Naibu Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura(hayupo pichani) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji wa mashindano hayo jana jijini Dar es Salaam.
WAM8Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura (wapili kushoto) akiimba wimbo wa Taifa la Tanzania wakati hafla ya ufungaji wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20  jana jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe,Raisi wa Shirikisho la Mchezo wa Riadha  Afrika Mashariki Mhandisi Sadick Ibrahim na Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo upande wa Miundombinu Alex Nkenyenge.
WAM9Washiriki wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 kutoka nchi mbalimbali wakiimba wimbo wa Taifa la Tanzania wakati wa  hafla ya ufungaji wa mashindano hayo jana jijini Dar es Salaam.
WAM10Naibu Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akimpongeza mmoja wa washiriki kutoka Tanzania ambao wamekuwa washindi wa kwanza kwa wanawake  mbio za relay mita mia nne mara nne alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 jana jijini Dar es Salaam.
WAM11Naibu Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akimvalisha medali mmoja wa washiriki kutoka Kenya ambao wamekuwa washindi wa kwanza kwa wanaume mbio za relay mita mia nne mara nne  alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 jana jijini Dar es Salaam.
WAM13Mshindi wa kwanza wa mbio za mita 200 katika mashindano ya Afrika Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 Bw. Ally Khamis Ibrahim kutoka Zanzibar ( katikati) na akiwa katika jukwaa moja na washindi wa pili na watatu ambao wate wanatokea nchini Kenya.Mshindi wa kwanza wa mbio za mita 200 katika mashindano ya Afrika Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 Bw. Ally Khamis Ibrahim kutoka Zanzibar ( katikati) na akiwa katika jukwaa moja na washindi wa pili na watatu ambao wate wanatokea nchini Kenya.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA