Tatizo la watumishi hewa nchini limeendelea kushamiri mkoani Iringa baada ya kubainika kwa uwepo wa watumishi hewa zaidi ya 100 waliosababishia serikali hasara ya milioni 300; https://youtu.be/fhLrlKyYJZg
Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh Ahamad Masauni amelitaka jeshi la polisi nchini kuongeza bidii katika kutokomeza uhalifu;https://youtu.be/8aLYyB9IPoM
Walimu wa shule za sekondari nchini wametakiwa kuwa na desturi ya kuongeza kiwango cha ufaulu mashuleni kwa kuweka mikakati imara katika mbinu za ufundishaji; https://youtu.be/y1URcnViN4g
Naibu waziri wan chi ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia mazingira Ruhaga Mpina amewataka wahitimu wa elimu ya juu kujikita katika fursa za kilimo cha miti; https://youtu.be/NWK56UssGig
Katibu mkuu wa wizara ya Ujenzi na mawasiliano Eng. Joseph Nyamhanga amewataka makandarasi wanaojenga barabara mikoani kukamilisha kwa haraka miradi hiyo; https://youtu.be/mrds0EOPFz4
Mazungumzo maalumu juu ya umuhimu wa teknolojia katika kurahisisha mambo hususani katika sekta ya elimu kwa wanafunzi;https://youtu.be/hL-nCmdbA3k
Comments