HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba atengua maamuzi yake ya kujiuzulu katika chama hicho na kuamua kurejea tena; https://youtu.be/ipPiWYakX6I
SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli leo amewaapisha mawaziri wateule wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba na Dr Charles Tizeba anayechukua nafasi ya waziri wa kilimo; https://youtu.be/KBNUxmr3Sq0
SIMU.TV: Makamu wa rais Mama Samia Suluhu amewataka watu wenye uwezo nchini kujitokeza na kuwasaidia wananchi wasio na uwezo hususani kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani; https://youtu.be/D9VH0agC_Vs
SIMU.TV: Mbunge wa jimbo la Monduli Julius Kalanga amezindua kampeni maalumu jimboni kwake yenye lengo la kuwataka wananchi kujenga nyumba za uhakika na kudumu; https://youtu.be/RPtJsyWIy9c

SIMU.TV: Tanzania imeungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya Albino duniani huku serikali ikisema imejipanga kumaliza kabisa ukatili dhidi yao; https://youtu.be/DyqPjYTt9o4

SIMU.TV: Idara ya uhamiaji jijini Dar es salaam imewakamata raia watatu wa kigeni kwa tuhuma za kuwasafirisha wasichana nje ya nchi na kuwafanyisha kazi za udhalilishaji; https://youtu.be/mFpZXOAWBAc

SIMU.TV: Halmashauri ya manispaa ya Ilala imefanikiwa kukusanya kodi ya shilingi Bilioni 40 baada ya kuanzisha kampeni maalumu ya kuwasaka wakwepaji wakubwa wa kodi; https://youtu.be/Sqe_7b8lVEo  

SIMU.TV: Benki ya CRDB imefanikiwa kutunukiwa tuzo tano za kimataifa ndani ya miezi miwili ikiwa ni ishara ya utoaji huduma bora ya benki hiyo kwa wateja wake; https://youtu.be/Tdo981LpNxQ
SIMU.TV: Serikali visiwani Zanzibar imesema wananchi katika visiwa hivyo wana matumaini makubwa na mamilioni yaliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni; https://youtu.be/Jyq9gglbJFg

SIMU.TV:  Serikali imeahirisha mashindano ya Umisseta nchini ili kupisha zoezi la ukamilishaji wa matengenezo ya madawati nchi nzima; https://youtu.be/Cj9dz4tP4J0
SIMU.TV: Klabu ya Yanga imeendelea kujifua katika kambi yake nchini Uturuki ambayo imekuwa ni maalumu kwa maandalizi ya mchezo yao na Mo Bejaia nchini Algeria; https://youtu.be/1YK2O3mWqag

SIMU.TV: Wadhamini wa ligi kuu Tanzania bara Vodacom wamepanga kutoa zawadi kwa washindi mbalimbali wa ligi kuu msimu uliopita baada ya kumalizika kwa mfungo wa Ramadhani; https://youtu.be/zecum5clHXw
SIMU.TV: Kesi ya mwanariadha mlemavu nchini Afrika Kusini Oscar Pistorius yazidi kunguruma mahakamani nchini humo;https://youtu.be/1vNQVzYaGjo

SIMU.TV: Serikali imesema inakusudia kupima na kuchora upya ramani na mipaka ya nchi ili kukabiliana na kero ya upimaji wa ardhi na migogoro ya ardhi. https://youtu.be/Q3zi-lxPoRk
SIMU.TV: Wamiliki na madereva wa magari madogo yanayosafirisha abiria moani Tabora wamegoma kwa zaidi ya saa nane baada ya SUMATRA kupunguza viwango vya nauli bila kuwashirikisha. https://youtu.be/OW3nKXsrATQ

SIMU.TV: Mawaziri wawili waliochaguliwa kufuatia mabadiliko madogo yaliyofanyika kwenye baraza la mawaziri wameahidi kutenda kazi kulingana na kasi ya serikali ya awamu ya tano. https://youtu.be/ny69KR18GQg

SIMU.TV: Makamu wa rais Bi. Samia Suluhu Hassan amewaomba watanzania kusaidia wananchi wenye mahitaji maalumu ili waweze kutekeleza ibaada ya kufunga mfungo mtukufu. https://youtu.be/kZQmOu_cMKM

SIMU.TV: Wadau wa elimu mkoani Kigoma wanaendelea kujitokeza katika kusaidia jitihada za kuhahakikisha kuwa shule zinapata madawati. https://youtu.be/LZADmyQO5dA

SIMU.TV: Mwanasiasa mkongwe na mtaalamu wa uchumi Prof Ibrahim Haruna Lipumba amesema ameandika barua kwenye uongozi wa chama cha CUF ili arejeshwe kwenye nafasi yake aliyojiuzulu miezi kumi iliyo pita.https://youtu.be/IyWOmvlb_gc

SIMU.TV: Hali ya mfumuko wa bei visiwani Zanzibar imeshukua na kufika asimilia 2.8 ikitokea asilimia kumi na imeelezwa ni kwa ajili ya kuwepo kwa mavuno ya mchele. https://youtu.be/L6_meknRBP0

SIMU.TV: Wanawake wajasiriamali 11 kutoka nchini wanashiriki kwenye maonesho ya bidhaa za wajasiriamali yanayofanyika nchini Comoro. https://youtu.be/Ud9___i1iew
SIMU.TV: Kampuni ya uchimbaji wa madini GGM imesema zaidi ya biliono 1.5 zimetumika katika kuendeleza miradi ya uchumi kwa wananchi wanaozunguka mgodi wa Geita na kukanusha kuhusika na ukiukwaji wa haki za binadamu.https://youtu.be/h2E0ICdvDKo

SIMU.TV: Wafanyakazi zaidi ya 50 wa benki ya posta nchini wamechangia damu ili kusaidia wahitaji wa damu hospitalini.https://youtu.be/Aom2sXP4TJ4

SIMU.TV: Serikali imearisha michezo ya shule za sekondari UMISETA na ya shule za msingi UMITASHUMTA  ili kupisha wadau kuchangia madawati. https://youtu.be/ntwSPJQsj2A

SIMU.TV: Klabu ya Yanga imesema mashabiki wake wana haki ya kukaa sehemu yeyote katika uwanja wa taifa wakati wa michezo ya  kimataifa ya klabu hiyo. https://youtu.be/cT-kl1LzJzc

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom imesema zawadi za washindi wa Ligi kuu ya Vodacom nchini zitatolewa mwezi ujao. https://youtu.be/rfxfCD30ZvQ

SIMU.TV: Timu ya WOSHU ya jijini Dar es Salaam imetamba kuibuka mshindi kwa mashindano ya  kitaifa  yanayotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. https://youtu.be/xj1ruhlLQ5Q

SIMU.TV: Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limeonya kuwatoa katika mashindano timu za Russia na Uingereza endapo vurugu za mashabiki zitajirudia tena. https://youtu.be/QsaQ5MLDtjI

Attachments area
Preview YouTube video Prof Lipumba Arejea CUF Preview YouTube video Rais Amwapisha Mwigulu Nchemba na Dr Tizeba Preview YouTube video Msaada Wakati wa Mwezi Mtukufu Preview YouTube video Wafugaji Washawishiwa Kujenga Nyumba Bora Preview YouTube video Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Ualbino Preview YouTube video Uhamiaji Wanasa Wasafirishaji wa Binadamu Preview YouTube video Operesheni ya Kukusanya Kodi Ilala Preview YouTube video Benki ya CRDB Yashinda Tuzo Tano za Ubora Preview YouTube video Mamilioni ya Magufuli Kuwanufaisha Wazanzibari Preview YouTube video Serikali Yasitisha Mashindano ya Umisseta Preview YouTube video Yanga Yazidi Kujifua Uturuki, Malinzi Amlilia Mabula Preview YouTube video Zawadi za Ligi Kuu, Ziara ya Yamoto Band AMGL Preview YouTube video Mwanariadha Oscar Pistorious Azidi Kubwana Mahakamani Preview YouTube video Serikali Yaanza Kutumia Teknolojia Ya Kisasa Upimaji Wa Ardhi Preview YouTube video Madereva Wa Abiria Tabora Wagoma Preview YouTube video Mawaziri Wala Kiapo Ikulu Preview YouTube video Wananchi Waombwa Kusaidia Wahitaji Maalumu Ili Waweze Kufunga Preview YouTube video Wadau Waendelea Kuchangia Madawati Kigoma Preview YouTube video Lipumba Atengua Uamuzi Wa Kujiuzulu Preview YouTube video Mfumuko Wa Bei Washuka Zanzibar Preview YouTube video Wajasiriamali Kutoka Tanzania Washiriki Maonesho Comoro Preview YouTube video GGM Yakanusha Kukiuka Haki Za Binadamu Preview YouTube video Wafanyakazi TPB Wachangia Damu Preview YouTube video UMISETA Yaota Mbawa Hatua Za Mwishoni Preview YouTube video Mashabiki Wa Yanga Kukaa Upande Wowote Uwanja Wa Taifa Preview YouTube video Zawadi Za Washindi Ligi Kuu Kutolewa Mwezi Ujao Preview YouTube video Dar Yatamba Kuibuka Mshindi Wa WOSHU Preview YouTube video UEFA Waonya Russia na Uingereza
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)

WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI