HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi wa jiji la Dar es salaam wameelezea wasiwasi wao na ufanisi wa zoezi la uzimwaji wa simu feki nchini; https://youtu.be/DIwbTEYWZmw
SIMU.TV: Bodi ya mikopo na NACTE zashauriwa kurekebisha dosari mbalimbali zilizojitokeza kiutendaji ili kuweza kufanya kazi zake kiuweledi; https://youtu.be/3R_I1OE3tbs

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamelilalamikia jeshi la Polisi kwa kuwafanyia vitendo vya unyanyasaji ikiwa ni pamoja na kuwabambikia kesi; https://youtu.be/RIOSGJs4NRA
SIMU.TV: Rais Dr Magufuli amewasihi watanzania wote kuungana na wasilam wote nchini walioko katika mfungo wa ramadhani ili kuiombea nchi amani na utulivu; https://youtu.be/xLWQzyKATGI

SIMU.TV: Abiria wa mabasi yaendayokasi wamelazimika kushuka katika magari hayo na kuendelea na safari zao baada ya kutokea kwa mabishano kati ya dereva na trafiki; https://youtu.be/rV5KWsw__nA

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imewatangaza washindi wake wa awali wa bahati nasibu yao ya Kamata mpunga jijini Dar es salaam; https://youtu.be/PzjrF4KgXRs
SIMU.TV: Waziri wa nchi Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za fedha nchini kupunguza viwango vya riba ili kuwawezesha wananchi wa viwango vya chini kunufaika na huduma hizo; https://youtu.be/0Hgi7lH0EGo
SIMU.TV: Rais wa shirikisho la masumbwi nchini BFT Mwita Rwakatare amelalamikia kitendo cha shirikisho hilo mkoa wa Dar es salaam kuandaa mchezo wa ngumi bila ridhaa yao; https://youtu.be/hGftnRzGboYV
SIMU.TV: Maadhimisho ya siku ya Yoga yanatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam huku yakitemewa kuhudhuriwa na wageni kutoka mataifa mbalimbali; https://youtu.be/D_X3TAov5s0

SIMU.TV: Chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemevu kilichopo Yombo jijini Dar es salaam kimepokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Uhuru ; https://youtu.be/O3_3PADplsY

SIMU.TV: Brazil wamemfukuza kazi kocha mkuu wa timu hiyo Carlos Dunga baada ya timu yake kutolewa katika hatua ya makundi ya michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani; https://youtu.be/Qdra67bv7Fo

Waziri wa elimu sayansi teknolijia na mafunzo ya ufundi ametoa taarifa ya uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili watendaji wa bodi ya mikopo waliosimamishwa kupisha uchunguzi. https://youtu.be/YHlJsPgKIlM
SIMU.TV: Simu bandia za mkononi zitazimwa rasmi kesho ikiwa ni hatua ya kuthibiti uingizwaji na uuzwaji wa simu bandia hapa nchini. https://youtu.be/u5qLaKATMak

SIMU.TV: Rais Dr John Pombe Magufuli amewasihi watanzania kuungana na waislam waliopo kwenye mfungo mtukufu kuliombea taifa amani. https://youtu.be/ObjI2l3Py48

SIMU.TV: Serikali imemuagiza mkandarasi kumalizia barabara ya kutokea Senzati hadi Mugumu katika mkoa wa Mara ndani ya muda uliopangwa. https://youtu.be/6QiGXg7qhjk

SIMU.TV: Waziri mkuu Kasimu Majaliwa amezisihi taasisi za kifedha nchini kupitia upya riba za mikopo ili kuwezesha wakopaji kunufaika na mikopo wanayokopa. https://youtu.be/gd_G2qngaPo
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi amewataka wakazi wa wilaya hiyo kushirikiana na walimu ili kuinasua wilaya hiyo katika kufanya vibaya kwenye sekta ya elimu. https://youtu.be/yQadN_nhMP4

SIMU.TV: Bodi ya utalii nchini imeandaa mikakati kabambe ya kuinua utalii hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuanziasha tovuti itakayotoa maelekezo na taarifa kwa watalii. https://youtu.be/W57dhxhbA0s

SIMU.TV: Meneja wa mamlaka ya mapato TRA mkoa wa Mbeya amesema mamlaka hiyo itaendelea kusimamia sheria katika kutoza na kukusanya kodi. https://youtu.be/zXJ_bmY_0cs    

SIMU.TV: Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imendelea kukusanya madeni sugu ya kodi ya majengo kwa wamiliki wa majengo. https://youtu.be/2IhP32xL3ZY
SIMU.TV: Kampuni ya usafirishaji ya kimataifa ya UBER inayowaunganisha wasafiri na huduma za taxi kwa njia ya mtandao imezindua huduma zake nchini. https://youtu.be/aysDCRvtDDo
SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imetoa zaidi ya milioni ishirini kwa wananchi walioibuka washindi kwenye pomosheni ya kamata mpunga. https://youtu.be/oOvyhwlAiBc
SIMU.TV: Romania wameendelea kupoteza matumani ya kuendelea kubaki katika mashindano ya UEFA EURO baada ya kukubali sare ya moja kwa moja dhidi ya Uswisi. https://youtu.be/PZArF7yziBI
SIMU.TV: Wakati dirisha la usajili likifunguliwa nchini wachezaji wametakiwa kuwa makini kwenye mikataba watakayo saini na vilabu vyao. https://youtu.be/SgazYGl6Ry4
SIMU.TV: Kampuni ya Global publisher imetambulisha nyumba iliokuwa ikishindaniwa kwenye bahati na sibu inayoendeshwa na kampuni hiyo. https://youtu.be/M5PU39nY1bA


Attachments area
Preview YouTube video TCRA Yasisitiza Kuzima Simu Bandia Preview YouTube video NACTE, Bodi ya Mikopo Kurekebisha Dosari Preview YouTube video Polisi Kahama Lawamani kwa Unyanyasaji Preview YouTube video Rais magufuli Afuturisha Ikulu Jijini Dar Preview YouTube video Mabasi ya Mwendokasi Yazua Tafrani Jijini Dar es salaam Preview YouTube video Vodacom Yatangaza Washindi wa Kamata Mkwanja Preview YouTube video Waziri Mkuu Ataka Kupunguzwa kwa Riba Benki Preview YouTube video BFT Wazungumzia Meya Cup Masumbwi Preview YouTube video Siku ya Yoga Duniani Preview YouTube video Michezo kwa Watu Wenye Ulemavu Preview YouTube video Dunga Afungashiwa Virago Brazil Preview YouTube video Uchunguzi Waonesha Wanafunzi Kupatiwa Mikopo Zaidi Ya Chuo Kimoja Preview YouTube video Simu Bandia Kuzimwa Rasmi Kesho Preview YouTube video Rais Awataka Watanzania Kuliombea Taifa Amani Preview YouTube video Serikali Yamuagiza Mkandarasi Kumalizia Ujenzi Wa Barabara Mara Preview YouTube video Benki Zatakiwa Kupunguza Riba Za Mikopo Preview YouTube video Wananchi Watakiwa Kushirikiana na Walimu Kuinua Elimu Kilwa Preview YouTube video Bodi Ya Utalii Yazindua Tovuti Yake Preview YouTube video TRA Yasema Haita Rudi Nyuma Kukusanya Kodi Preview YouTube video Ilala Yaendelea Kuwafuatilia Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Majengo Preview YouTube video UBER Yaanzisha Huduma Zake Tanzania Preview YouTube video Vodacom Yatoa Zaidi Ya Milioni 20 Kwenye Kamata Mpunga Preview YouTube video Romania Yazidi Kupoteza Matumaini EURO Preview YouTube video wachezaji wapewa semina juu ya mikataba na klabu Preview YouTube video Global Publisher Yatambulisha Nyumba Ya Bahati Na Sibu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU