HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Tanga limefanikiwa kumkamata  jambazi mmoja na kukamata bunduki moja ikiwa na risasi zake huku akikiri kuhusika na matukio mbalimbali ya uhalifu; https://youtu.be/zxFHC8i-rEo


SIMU.TV: Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia ofisi ndogo ya Vodacom mkoani Geita na kumuua mlinzi pamoja na kuiba mali zenye thamani ya zaidi shilingi 10; https://youtu.be/Lrh7Yy70S_k

SIMU.TV: Shirika la Reli nchini kituo cha Dodoma limefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Bilioni 5 baada ya kufanikiwa kufufua mabehewa 24 ya mizigo;https://youtu.be/OLxHECJCb8E

SIMU.TV: Taasisi ya Montage kwa kushirikiana na Serena Hotel wanatembelea kituo cha kulelea watoto wenye mazingira magumu cha Dogodogo Center na kuwapata misaada pamoja na kuwalisha chakula;https://youtu.be/5MegntO6pSI

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi amemtaka mkurugenzi wa wilaya ya Liwale kusimamia ujenzi wa vyoo na mabweni katika shule ya sekondari Nangano; https://youtu.be/ZEHjI_UYhlg  


SIMU.TV: Timu ya soka ya Yanga itashuka dimbani leo baadae kuvaana na wenyeji wao  timu ya soka ya Mo Bejaia nchini Algeria;https://youtu.be/VvpuSD1qgiU

SIMU.TV: Timu ya taifa chini ya umri wa miaka 17 imecheza mchezo wa kirafiki na timu ya vijana ya Simbion na kutoka sare ikiwa ni mazoezi ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Shelisheli; https://youtu.be/S62ccjHHaok
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA MPENDWA WAO MWANAHABARI JOYCE MMASI