HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Jumla ya maafisa 27 wa juu kabisa wa hifadhi za taifa TANAPA wamehitimu mafunzo maalumu ya kuwawezesha kukabiliana na tatizo la ujangili nchini; https://youtu.be/ZlITqZbD_t0  

SIMU.TV: Serikali imewataka wakazi wa wilaya za Chemba na Kondoa kuacha kushutumia kutiliana sumu juu ya ugonjwa ulioibuka juzi na badala yake waiachie wizara ya afya ifanye uchunguzi wake; https://youtu.be/Tk61bUpTk0g

SIMU.TV: Jeshi la polisi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga linamshikilia bwana mmoja kwa tuhuma za kumbaka mwanae wa kike na kumsababishia maumivu makali; https://youtu.be/50Lg8S9h9NY

SIMU.TV: Kijana wa kitanzania Ismail Kambi ameibuka mshindi wa kusoma Quran na kujishindia zawadi ya gari aina ya Noah yeye thamani ya shilingi Milioni 14; https://youtu.be/lwyOJ80xsSQ

SIMU.TV: Watumiaji wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es salaam kuanzia kesho wataanza kutumia tiketi za kielekitroniki ili kurahisisha matumizi ya mabasi hayo; https://youtu.be/Z4XkbASHwKw
SIMU.TV: Chama cha UDP kimemuomba Rais Magufuli kuruhusu kufanyika kwa mikutano ya vyama siasa ili kuweza kukuza Demokrasia; https://youtu.be/Khozy-sLkz8  

SIMU.TV: Kikosi kamili cha Yanga kutoka nchini Tanzania kilichopo nchini Algeria hivi sasa kinatarajia kushuka dimbani usiku huu hapo baadae na wenyeji wao Mo Bejaia katika michuano ya shirikisho barani Afrika;https://youtu.be/IBzIVKHdV-g

SIMU.TV: Maendeleo ya mchezo wa Golf nchini yatapatikana endapo watanzania kwa umoja wao wataamua kuelekeza nguvu zao katika mchezo huo; https://youtu.be/r8-Revm2zho
SIMU.TV: Wasanii maarufu wa kuimba na kuigiza kutoka Marekani na India wanatarajia kupamba jukwaa visiwani Zanzibar katika utoaji wa tuzo za ZIFF; https://youtu.be/pRhYC9fYdz4
SIMU.TV: Serikali imewataka watanzania kushiriki mazoezi mbalimbali ili kuwawezesha kuweka miili fiti kiafya na kuepukana na mgonjwa yasiyo ya lazima; https://youtu.be/26170nh8_g0

SIMU.TV: Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu amesema watu waliofariki kwa ugonjwa usiojulikana katika Wilaya za Chemba na Kondoa mkoani Dodoma imefikia saba. https://youtu.be/vmt4ONTIix0
SIMU.TV: Naibu spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amesema serikali ina mpango wa kuajiri wataalamu wa afya ili kuondoa changamoto ya upungufu wa madaktari. https://youtu.be/Uw_KZlCTAxU
SIMU.TV: Waziri wa maliasili na utali Profesa Jumanne Maghembe amesema serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za shirika la hifadhi nchini  TANAPA katika kukabiliana na ujangili. https://youtu.be/Y7n-_qgCu7w

SIMU.TV: Wakulima wa zao la shaiyiri katika mikoa ya Arusha na Manyara wameiomba serikali kuwapunguzia gharama za viwatilifu na mbolea ili wawezekumudu kilimo hicho. https://youtu.be/oHPejokC8Ds

SIMU.TV: Wakulima wa korosho kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara wamelalamikia kucheleweshwa kwa ugawaji wa pembejeo za ruzuku. https://youtu.be/-iWCKIfPgq8
SIMU.TV: Jumla ya kaya 915 katika mkoa wa Kagera zimeondolewa katika mpango wa kunusu kaya masikini baada ya kuonekana hazikidhi vigezo vya kuendelea kuwa katika mpango huo. https://youtu.be/pC9s7nMz4Bs

SIMU.TV: Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Hassan Mwinyi amewataka watanzania kushirikiana bila kujali itikadi zao ili kulinda amani ya nchi. https://youtu.be/1qbl7p0LgPY

SIMU.TV: Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi kuhakikisha wanawapa watoto wao elimu ili kuwawezesha kujenga misingi bora katika maisha. https://youtu.be/O1kZG0CyiZw

SIMU.TV: Watanzania wameaswa kudumisha amani iliyoko nchini kwa kujiepusha na matukio ya uvunjifu wa amani.https://youtu.be/wwMxdWpizjo

SIMU.TV: Klabu ya Yanga leo usiku inaingia uwanjani huko Algeria kucheza mchezo wa makundi ya kombe la shirikisho dhidi ya Mo Bejaiya ya huko nchini Algeria. https://youtu.be/s-RZbyYIG5Q

SIMU.TV: Waziri wa habari sanaa na michezo ameshiriki katika siku ya kimataifa ya maadhimisho ya Yoga na kuwataka watanzania kudumisha tamaduni zao kama wahindi walivyofanya kuitunza Yoga. https://youtu.be/OKghkkTFSGg

SIMU.TV: Licha ya TFF kufuta uchaguzi wa chama cha michezo cha Kinondoni KIFA uongozi uliochaguliwa umeendelea na kazi kama kawaidana kusema hawajapata barua ya TFF. https://youtu.be/HOakBpeMls0

SIMU.TV: Kamati ya utendaji ya chama cha kuogelea imesema watakutana ili kujadili ratiba ya kushiriki mashindano ya Olimpiki. https://youtu.be/Wnuj1tqjApY
SIMU.TV: Timu ya Ureno imefikisha alama mbili katika mashindano ya EURO baada ya kutoka sare ya moja kwa moja dhidi ya Austria hapo jana usiku. https://youtu.be/brjbBCQJJtU



Attachments area
Preview YouTube video TANAPA Yakamilisha Mafunzo kwa Maafisa Wake Preview YouTube video Sio Sumu ni Ugonjwa Serikali Yaonya Mkoani Dodoma Preview YouTube video Mtoto wa Miaka 3 Abakwa na Baba yake Mzazi Preview YouTube video Mtanzania Aibuka Mshindi Mashindano ya Quran Preview YouTube video Matumizi ya Tiketi za Kielekitroniki Mabaya Mwendokasi Preview YouTube video UDP Yataka Mikutano ya Kisiasa Iruhusiwe kwa Masharti Preview YouTube video Kila la Kheri Yanga Kombe la Shirikisho Usiku Huu Preview YouTube video Wadau Waitwa Kudhamini Golf Preview YouTube video Hollywood na Bollywood Kupamba Tamasha la ZIFF Preview YouTube video Siku ya Yoga Duniani Preview YouTube video Idadi Ya Waliofariki Kwa Ugonjwa Usiojulikana Dodoma Yafikia Saba Preview YouTube video Serikali Kuajiri Madaktari Na Wataalamu Wa Afya Zaidi Preview YouTube video Serikali Kusaidiana Na TANAPA Kutokomeza Ujangili Preview YouTube video Wakulima Wa Shayiri Waomba Kupunguziwa Gharama Za Viwatilifu Preview YouTube video Wakulima Wa Korosho wapata Changamoto Ya Pembejeo Za Ruzuku Preview YouTube video Kaya 915 Zaondolewa Kwenye Mpango Wa TASAF Preview YouTube video Mwinyi Awataka Watanzania Kushirikiana Kulinda Amani Preview YouTube video Wazazi Watakiwa Kuwapa Watoto Elimu Kuanzia Utotoni Preview YouTube video Watanzania Waaswa Kulinda Amani Preview YouTube video Yanga Kukipiga Na Mo Bejaiya Preview YouTube video Watanzania Watakiwa Kudumisha Utamaduni Wao Preview YouTube video Uongozi Wa KIFA Wasema Bado Haujapata Barua Ya TFF Preview YouTube video Kamati Ya Chama Cha Kuogelea Kukutana Preview YouTube video Ureno Yazidi Kudorora EURO

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*