HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais Dr Magufuli amemuapisha Naibu Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Dr Tulia Ackson ambaye amekuwa Naibu Spika wa bunge la Tanzania;https://youtu.be/DREaYf47cjA

SIMU.TV: Tume ya ushindani nchini imeapa kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote watakaoingiza simu bandia nchini mara baada ya kuzimwa kwa simu zote bandia; https://youtu.be/9mPvkz7J70E
SIMU.TV: Mamlaka yan chakula na dawa kanda ya kusini imeteketeza kwa moto dawa, chakula na vipodozi vilivyopitwa na wakati huku ikisidakiwa kuwa na sumu kwa watumiaji; https://youtu.be/PmRXSYycD9A
SIMU.TV: Matumizi mabaya ya taaluma kwa watumishi mbalimbali wa umma kunasababishwa na kutokua na hofu ya mungu na matokeo yake kusababisha vifo na dhuluma kwa wananchi; https://youtu.be/u3pGIVPKvlo
SIMU.TV: Mwili wa mtu mmoja aliyetambulika kwa majina ya James Juma Philipo bado umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Oljoro kwa wiki moja sasa akiwa amekosa ndugu;https://youtu.be/ge_lPLPHsAo
SIMU.TV: Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imetupwa nje katika mashindano ya kuwania tiketi ya kucheza AFCON baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Misri; https://youtu.be/pjpAE_Y1w7s  

SIMU.TV: Wachezaji wa Golf zaidi ya 80 wameshiriki mchezo huo katika viwanja vya Gymcana ili kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto mbalimbali wenye matatizo hususani ya moyo;https://youtu.be/n7V6aCiz9E4

SIMU.TV: Zaidi ya watoto 100 wenye matatizo ya miguu vifundo wamepona kabia ugonjwa huo wilayani Sengerema mkoani Mwanza;https://youtu.be/Mx_O14ZJqdI
SIMU.TV: Wakazi wilayani Arumeru mkoani Arusha wamewalalamikia viongozi wa kata mbalimbali wilayani humo kwa kutoweka mipaka ya hifadhi za misitu sababu inayopelekea watu kuvamia maeneo hayo;https://youtu.be/Z3ucMbZ-G5Y
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Sikonge mkoani Tabora Hanifa Selengo amesema kuwa msako wa kuwakamata watu wanaotorosha tumbaku mkoani humo unakabiliwa na changamoto nyingi;https://youtu.be/YzspwAmmz-0
SIMU.TV: Kamati iliyokuwa inachunguza makosa 13 yanayomkabidhi aliyekuwa mkurugenzi wa Hanang Felix Mabula imekamilisha uchunguzi wake na kukabidhi ripoti hiyo kwa uongozi; https://youtu.be/qlsVjG7HAMs
SIMU.TV: Waziri wa nchi ofisi ya rais TAMISEMI Mh George Simbachawene amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutoa taarifa juu ya ukamilishaji wa zoezi la madawati; https://youtu.be/svTzA4NW7Ow
SIMU.TV: Baadhi ya wakazi wa kata ya Majengo wilayani Rukwa mkoani Sumbawanga wamewataka viongozi kuzingatia weledi kwa mkandarasi atakayechaguliwa kujenga barabara yao; https://youtu.be/lJ5DcanUnNg
SIMU.TV: Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imetupwa nje katika mashindano ya kuwania tiketi ya kucheza AFCON baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Misri; https://youtu.be/sdRCX_dm87c

SIMU.TV: Mashabiki wa Masumbwi nchini wamepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha nguli wa zamani wa masumbwi dunia Mohammed Alli aliyefariki dunia hapo jana nchini Marekani; https://youtu.be/m1akg-IsCRY
SIMU.TV: Wafanyakazi kote nchini wametakiwa kushiriki michezo mbalimbali ili kuweza kujiepusha na magonjwa;https://youtu.be/AXq1BNRmGaU
SIMU.TV: Tamasha la Majimaji Selebuka limemalizika hapo jana wilayani Songea mkoani Ruvuma na washindi mbalimbali kukabidhiwa zawadi zao;https://youtu.be/bNfdCneLXnk

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.