4x4

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Juma Pondamali, amesema kuwa anawaandaa vilivyo kuelekea katika michuano ya kombe la shirikisho. https://youtu.be/c0e2Wbo2qdM

SIMU.TV: Michuano ya Ulaya 2016 yaanza kwa kishindo nchini Ufaransa huku nchi 24 zinatarajiwa kumenyana na kupata mbabe wa michuano hiyo.  https://youtu.be/vgZ666pzpiM

SIMU.TV:  Kamati ya uchaguzi Yanga yaeleza namna maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa klabu hiyo  kabla ya uchaguzi rasmi utakaofanyika kesho.  https://youtu.be/v7wg56ON-ro

SIMU.TV: Jifunze mengi kuhusu jinsi ya kuuheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka kwa sheikh mziwanda.    https://youtu.be/EX8LnPknojg

SIMU.TV: Uongozi wa mkoa wa Iringa wapiga marufuku shughuli zinazofanyika katika kingo za vyanzo vya maji ikiwemo kilimo na ufugaji.  https://youtu.be/zTrrVm82G6c

SIMU.TV:  Fahamu mengi kuhusu Soka la Vyuo vikuu Kutoka kwa Mratibu wa Soka wa Vyuo Vikuu Tanzania.   https://youtu.be/pFkM_Ess_z8

SIMU.TV: Fahamu mengi kutoka kwa Msanii Ben Paul akikujuza kuhusu Wimbo wake mpya na changamoto za Skendo kwa wasanii.   https://youtu.be/H-YPyG1lTvg

SIMU.TV: Jifunze mengi kuhusu jinsi ya kuuheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka kwa sheikh mziwanda.    https://youtu.be/EX8LnPknojg

SIMU.TV:  Wananchi Madewa Singida waikataa tume iliyoundwa na mkurugenzi  iliyoundwa kusikiliza migogoro ya ardhi.   https://youtu.be/9hweQJeZiS4

SIMU.TV: Uongozi wa wilaya ya Shinyanga imezitaka halmashauri kuweka utaratibu endelevu wa kuzuia malipo kwa watumishi hewa.  https://youtu.be/xtIdGt3HHEw

SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Temeke awataka watendaji wa wilaya hiyo kushirikiana na wazazi kukomesha makundi yasiyofaa ambayo huanzishwa na wanafunzi.   https://youtu.be/uKJwaSZNxFw

SIMU.TV: Wapiganaji wa jeshi la polisi Pemba wametakiwa kuondoa muhali katika utekelezaji wa majukumu yao ili kudhibiti vitendo vya rushwa.  https://youtu.be/_hewv2xQ1Aw

Post a Comment